Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda
Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda
Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
Wakuu,
Hii picha mmeiona? Hivi vimulimuli ambavyo naviona kwenye hili gari la Mwijaku vinamaanisha nini?
Au sio vimulimuli hivi?
Na hapa alikuwa nyumbani kwake huko Kigomboni. Kama nchi tunaelekea pabaya sana.
Ni vyema tujulishwe hivi vimulimuli vinamaanisha nini na kwanini Mwijaku anavyo...
Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo .
ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
Umeshachoka kutumia pesa nyingi kwa mafundi wasiotoa suluhisho la kudumu? Karibu Jerry Spare Parts and Services – mahali ambapo gari lako linarejeshwa katika hali bora kwa huduma za kitaalamu, vipuri halisi, na uaminifu wa hali ya juu.
Tunapatikana Mikocheni - Victoria, Dar es Salaam, pamoja na...
Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.
ENEO la Isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini.
Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo...
Habari za weekend wakuu.
Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.
Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda.
Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma
Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote!
Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
Habari wakazi wa JamiiForums!
Kama ulikuwa umewahi kufika Jerry Spare Parts and Services kwa ajili ya huduma ya spare parts, repairs au diagnosis, sasa tunayo habari njema kwako! Kwa kutambua thamani ya uaminifu wako, tumeamua kurudisha fadhila kwa staili ya kipekee.
🎁 Tunakupa nafasi ya...
Gari aina ya Tata liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Taifa Stars michuano ya CHAN limeketetea kwa moto baada ya kutokea hitilafu.
Ajali hiyo ya moto imetokea ghafla gari kuwaka moto msafara wakati msafara ukiwa unakaribia mkoani Shinyanga.
Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa
Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu
Karibuni
Sisi kama Jerry Spare Parts and Services, tumekuwa tukihudumia madereva na wamiliki wa magari kwa miaka kadhaa sasa, hasa katika kuhakikisha wanapata spare parts original kwa ajili ya matengenezo na safari zao. Moja ya changamoto tunayokutana nayo mara nyingi ni wateja wanaorudi kutoka safari...
Wakuu habari zenu.
Napenda kuanzisha mjadala kuhusu changamoto ambayo naamini wengi wetu ambao tunamiliki magari, au tunashughulika na magari, tumeikumbana nayo angalau mara moja – kununua spare part feki. Iwe ni kwa kukosa uelewa, kwa kushawishiwa na mafundi, au kwa sababu ya bei kuwa ndogo...
Wataalam, natanguliza shukrani.
Leo ilikua muda wa kufanya service gari yangu ( SUV) ambalo ni gari la engine ya Petrol, sasa nikafika garage na hapo hapo wanauza oil, mekanika nikamwambia na kwa uzoefu wake anajua magari madogo kama hilo langu ni gari la petrol hivyo nikamwacha afanye yake na...
Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu.
Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu) tumeenda kwenye shughuli ya kijamii, ufunguo huwa nauficha lakini wakagundua ulipo.
Jirani...
ndugu mwanachama ulie kuja namaada yako inayo sisitiza juu yawewe kupata uhakika wa uwepo wa magari yanayo tangazwa mitandaoni kama ulivyo sema tena kwabei ya hadi m2. majibu hapo chini.
1=gari la namna hiyo halipo labda iwe nikwamaana ya banda lakufugia panya na mende au kwamaana nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.