gari

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Manchester United gari imekolea moto au gesi ya presha cooker?

    Hawa jamaa wanatembeza kipigo sahivi EPL pale hadi unaogopa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

    BRAVIS NISSAN DUALIS NISSAN XTRAIL
  3. Kelela

    JamiiForums Tanzania Dar hadi Musoma kwa gari binafsi ni masaa mangapi?

    Wakuu Kwema? Naomba aliyewahi kusafiri kwa gari binafsi Dar to Musoma au Musoma to Dar alitumia masaa mangapi? Nataka kupata experience. Maana nilisafiri kwa Bus nilitumia masaa 22 sio poa.
  4. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis zimepatwa na nini?

    Habarini za Muda Huu Wana JF Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo .. Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gari gani linapaswa kuanza kuondoka?

  6. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  7. Seran

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kununua gari ndogo (IST)

    Habari zenu, Naomba msaada kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuagiza gari nje, gari ndogo aina ya Ist, nimeulizia kwa makampuni ninayoyafahamu naona bei hazipishani na yard japo wanasema bei imepanda(17-18m) Briefly, rafkiangu anataka kuagiza gari (mwenyewe)aina hiyo kupunguza gharama, bila...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

    Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
  9. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Gari zenye dashboard mbaya nikianza na vitz old model na rav4 old model nk

    “Gari zenye dashboard mbaya: Vitz vs RAV4 Old Models – Android haibadilishi look!” Ujumbe wa kuanzisha: Haya jamii nimekuwa nikitazama dashboard za baadhi ya magari ya zamani na nikajikuta nikishtuka. Angalia hizi picha: Toyota Vitz toleo la mwanzo. Pia Toyota Starlet (chini) dash imekaa...
  10. Insidious

    JamiiForums Tanzania Kipi cha kuzingatia wakati wa kununua gari kwa mtu

    Kwema wanajukwaa? Je ni kipi cha kuzingatia pindi unapotaka kununua gari kwa mtu? Kiufundi na masualabya kufanya muamala baina ya muuzaji na mnunuaji.
  11. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kijana avunjavunja gari hadharani baada ya kuvurugwa na mpenzi wake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake: Je, wewe unaweza kuvunja gari yako kwa sababu tu ya kuvurugwa na mpenzi wako?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huwa najizuia kucheka napoona mtu mwenye gari ya miaka zaidi ya 10 anaguswa na habari za disconituation ya utengenezaji wa baadhi ya magari

    Production Discontinued mtu ana gari ya zamani, kisha anaanza kuumia akisikia kiwanda kimeacha kutengeneza model hiyo. Mfano, mtu mwenye Premio ya 2008 toleo la zamani kabisa anasikitika kwamba Premio zimeacha kutengenezwa mwaka 2021 😂. Ukilinganisha gari yake ya 2006 hata na toleo la 2018, ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gari ngumu zinazopendwa na watu wenye vipato vya kawaida, huna haja ya kuwa na namba za mafundi, Kwenda Gereji ni service tu

    MAGARI YANAYOANZIA MWAKA 2000 NA KUENDELEA 1. Rav 4 - Kilitime Premio 240 Carina TI
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  15. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme

    Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira na unafuu wa gharama. Tafadhali serikali, najua vitu vingi mnaboronga lakini kuhusu hili la...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Marekani: Maafisa wa Federal Agents Wavunja Gari na Kumvuta Mwanamke Mlemavu kwa Nguvu na Kumtia Mbaroni

    Video hii inaonesha maafisa wa shirikisho wa Marekani (federal agents) wakimvuta mwanamke kutoka kwenye gari lake kwa nguvu huko Minneapolis, huku mwanamke huyo akipaza sauti akisema kuwa ni mwenye ulemavu, wakati wakimtia mbaroni. Tukio hilo limetokea umbali wa mabawa machache tu kutoka pale...
  17. Clack-Sniper

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa bolt na Gari ya Aqua

    Habari wataalamu wa Magari humu ndani. Hivi karibuni nimetaka kufanya utafiti wa kutumia gari ya Toyota aqua Hybrid kwa ajili ya Bolt, Nafanya part time tu. kwa siku kama 10 nimepata mapato kama hayo hapa sijaweka gharama za service. Mwenye uzoefu wa kutumia gari ya Gesi na mafuta, kama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ulijifanya mjuaji kwenye kitu gani ukaishia kugharamika zaidi kutatua tatizo la gari?

    Hapo zamani kidogo nilienda kuchaji betri ya gari, kesho yake narudi nalo sikutaka msaada wa fundi, nikaingia youtube nicheki wazungu wanafanyeje ku connect, Mambo ya DIY Do it yourself, kujifanyia mwenyewe nikiwa najipa moyo hakatwi mtu hapa, siwezi kutoa pesa kirahisi wakati nina bando na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa Dar es salaam bei ni million 7

    wasiliana nami: +255 785825442
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo kwa dhamana ya gari

    Habari wakuu. Nahitaji mkopo wenye riba kutoka mtu binafsi, nitaweka gari kama dhamana. Mkopo kwa muda wa miezi 2. Kwa mawasiliano zaidi tuzungumze
Back
Top Bottom