gari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenye gari zenye cvt mna hakikishaje mnanunua oili orijino kwajili ya cvt ?

    Ni gari zinazohitaji kudekezwa sana kwenye service nakitu muhimu zaidi ni kuzingatia sana oili iwe maalum kwajili ya cvt Watu wengi wanazikimbia kwasababu kuna oili feki nyingi zimejaa na ukithubutu kuzitumia unaua gari itaanza kuwa na matatizo chungu nzima na mafundi wetu wengi hawana uzoefu...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nunua gari kali, jenga ghorofa

    Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali. Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Gari la Mbunge Babalevo T555 EPN halina bima?

    Inasikitisha kutembeza chuma cha zaidi ya thamani ya Tsh Milioni 100 bila kuwa na bima. Waweza kuhakiki kwa kuweka namba ya gari T555EPN https://tiramis.tira.go.tz/#/
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  6. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

    Wanaseme Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari. Nisan extrail wanasema zinanock engine. Nisan dualis wanasema zinaungua Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box Yaani kila nisan inashida. Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Gari la BYD mtaani…

    Kuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”. Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge. Sawa Wachina.
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Suzuki Escudo Roho ya paka - gari za Mapadri wa kikatoliki

    Gari hizi Roho ya paka. Mapadri wa kikatoliki wanazielewa vijijini huko. Ukiipata hii umepata chuma.
  9. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Hapa ni mjini Ng'ombe wanafugwa bila kugongwa na gari la Shilole

    Usishtuke na kichwa cha habari—ni utani tu. Lakini ujumbe wake ni mzito na wa kweli 👇 🐄 Ufugaji wa ng’ombe ni fursa kubwa ya kiuchumi, haijalishi unaishi wapi: iwe ni kijijini, pembezoni mwa mji au katikati kabisa ya mji. Ukweli ni huu: 👉 Ukiandaa mazingira rafiki 👉 Ukiwa na miundombinu sahihi...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hii Gari Millioni 12.8 anauza kweli uyu Mwanetu?

    Nimekutana na hii tangazo, jamaa anauza BMW 3 Series kwa Tsh Mil 12.8 tu! Sema kwa maelezo yake kasema hii ni 2009 Model, ila katupiga. Huo mwaka BMW walifanya LCI (life circle impulse l, yaani kama update au refresh ya iyo model) na change ina mabadiriko kwa nje na ndani, mfano picha: Izo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Generali Ulimwengu: "Kama hupati take home ya 6m au 7m na ukataka kuendesha gari lako dsm, kuna mawili, labda we ni mwizi ama mtumwa"

    Hii code ya mtumwa amemaanishi nini?
  13. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Usinunue gari hizi mkononi

    Ewe mtanzania mwenye kuhitaji gari BAJETI NDOGO ya mkononi kwa mtu kwa ushauri usijaribu kununua gari mkononi mwa mtanzania mwenzako isipokuwa kwa gari zifuatazo. 1. Toyota premio, Toyota allion, Toyota corolla x, corona premio, Axio, Toyota carina ( Mafundi tele, spare tele na cheap, zina...
  14. S

    JamiiForums Tanzania TRA, je, ni kweli sasa hivi ukiingiza gari nchi kuna kodi kwa ajili ya dawa za UKIMWI(HIV)?

    Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa. Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000. Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Gari za "nyonya mavi

    Habari zenu wana JF?. Naomba msaada WA anayejua Yale magari ya nyonya mavi Yako chini ya mamlaka Gani?, na je nikiyahitaji niende ofisi Gani?, na kama Kuna anaye jua bei ya kulipa gari ikija kunyonya uchafu nyumbani kwako ni kiasi Gani?
  16. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Mrembo Sishikiki alalama kutapeliwa gari baada ya kumtolea nje mwanaume aliyekuwa anamtaka kimahusiano

    Katika Hali isio ya kawaida dada kaingia insta na kuanza kutia huruma eti huyo jamaa alie matapeli sababu, hamtaki kimahusiano ndo chanzo jamaa kumtapeli kibabe. Wadau wahoji insta ndo mahakama? Wadau watema cheche, mnakula vya watu mkiombwa kulombwa mnaleta ujanjaujanja, kwa mara ya kwanza...
  17. Billion Dolar

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ninunue gari ipi

    Wananzengo habari zenu. Mimi ni mtu wa safsri kila ijumaa ja jumapili, na huwa napenda nitumie gari binafsi ili nijipangie mda wa kuondoka na kufika. So nlikuwa na gari ndogo nahisi kuichoka. Kati ya gari ninayohitaji ni honda crosroad ama rumion nikishindwa hizi basi outlander but hizi 2 za...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Leo niweka nyimbo ya makomberero kwenye gari napita zangu kama watu inawapa mzuka

    Hii song inamzuka kweli ya kuonesha mabadiliko. Naongeza sauti kubwa kwenye gari najipitisha kituo cha polisi maana kipo barabarani.
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna gari zinaruhusiwa herufi “I” kwenye usajili

    Wonders shall never end,
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi? Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa...
Back
Top Bottom