Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan.
BAJETI
Isizidi 35M
MATUMIZI
Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza
MACHAGUO
Rav4 3rd Generation
Mazda CX 5
Outlander
Forester Xt
Nissan Duals/X strail
Mambo muhimu ya...
Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno
Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni.
Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya...
Wabongo wa vijiweni wanatabia ya kubeza sana usafiri wa watu wengine utasikia vitz sio gari , ist ni bajaji halafu huyo anayezungumza hivyo ukimkuta ndani ya mwendokasi utamuonea huruma
Unadhani watu bado mambumbu? Acha maigizo ya kisiasa
==================
Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za taifa, na chama hicho kipo makini...
Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
Wakuu
Katika harakati zangu wiki iliopita saa 12 asubuhi nilikutana na hii gari ya watoto wa nursery imepigwa tinted vioo vyote(hadi cha dereva) ispokua kioo cha mbele.
Kwa kushamiri kwa matukio ya unyanyasaji wa kingono na ukatili dhidi ya watoto, hili linawezekanaje? Unamlaumu nani
1. Kwanini...
Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda
Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda
Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
Wakuu,
Hii picha mmeiona? Hivi vimulimuli ambavyo naviona kwenye hili gari la Mwijaku vinamaanisha nini?
Au sio vimulimuli hivi?
Na hapa alikuwa nyumbani kwake huko Kigomboni. Kama nchi tunaelekea pabaya sana.
Ni vyema tujulishwe hivi vimulimuli vinamaanisha nini na kwanini Mwijaku anavyo...
Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo .
ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
Umeshachoka kutumia pesa nyingi kwa mafundi wasiotoa suluhisho la kudumu? Karibu Jerry Spare Parts and Services – mahali ambapo gari lako linarejeshwa katika hali bora kwa huduma za kitaalamu, vipuri halisi, na uaminifu wa hali ya juu.
Tunapatikana Mikocheni - Victoria, Dar es Salaam, pamoja na...
Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.
ENEO la Isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini.
Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo...
Habari za weekend wakuu.
Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.
Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda.
Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma
Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote!
Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.