gari

  1. Gari za mnada UNHCR

    Habari, Huwa kuna kipindi shirika la unhcr huuza magari yao yaliyoshatumika.Kwa anayejua, sio anayedhani, anayejua, gari km hii hap iliyoshatumika unaweza pata kwa bei gani?
  2. Kupaka rangi upya gari hii bei gani

    Habari kwa mafundi, kupaka upya rangi gari km hii hapa kwa dar inaweza kuwa bei gani. nataka iwe black metallic. Haina mikwaruzo kivile cha muhimu rangi bei yake inaweza kuwa bei gani Itakuwa vzr nikipata jibu kwa watu wanaojua sio mtu tu ku gesi na kujibu.
  3. S

    Betri ya gari yenye waranti ya mwaka mmoja imekufa baada ya miezi 10 wanakataa kunibadilishia

    Kama kichwa kilivyo, Nilinunua battery ya gari March 2019, leo imekufa narurisha dukani , wanagoma kunibadilishia wakidai ilitakiwa ninunue battery kubwa zaidi kwa ajili ya hiyo gari yangu, na tulibadilisha na kuweza saizi ile ile iliokuja na gari, na ndio saizi yake halisi. Ni wapi...
  4. Mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye gari waua watu watatu na kujeruhi wengine sita Mogadishu

    Bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari limelipuka katika eneo la makutano lenye shughuli nyingi mji mkuu wa Somalia na kusababisha vifo kwa watu 3 huku wengine 6 wakijeruhiwa kulingana na mkuu wa huduma ya uokoaji ya Mogadishu. Gari lilikokuwa na vilipuzi lililipuka katika kituo cha ukaguzi eneo...
  5. Nataka nitumie BAISIKELI badala ya Gari na Pikipiki

    Hery ya Mwaka mpya 2020. Kutokana na uvivu wa kufanya mazoezi ya viungo, kupanda kwa gharama za Maisha (hata jamiiforums hawapati matangazo 😢😢😢). Nataka niaze kutumia Usafiri wa BAISIKELI naomba mwenye kujua sehemu wanapo uza BAISIKELI nzuri weka bei na mawasiliano. hata kama ni USED.
  6. K

    Je, naweza kupata gari la milioni 5 za madafu

    Wakubwa nauliza upo uwezekano wa kupata gari dogo tu la kutembelea toka JAPAN kwa tsh milioni 5 pamoja na ushuru wa TRA
  7. Namna ya kuhalalisha gari ulilouziwa limeingizwa nchini kimakosa

    JF ndio kisima cha majibu, ndio Tanzania, ndio dunia. Hapajawahi kuniangusha humu. Naomba mwaka huu wadau wenye masihara wafanye kubadilika. Kipindi cha kazi na umakini. Niulize hivi ukiuziwa gari ukaja kugundua nyaraka zake si halali na liliingizwa nchini kimakosa kama yale ya namba pacha...
  8. Tesla Cybertruck: Gari 'game changer'

    Hii Tesla Cybertruck inabadili tafsiri ya gari kwa karne hii. Hii gari kimuonekano ni kama SUV lakini hili ni Pick up!. Cha kuipa sifa zaidi yenyewe ni EV - electric vehicle lakini imeweza shindanishwa na gari kama Ford F-150. Imagine siku ya kwanza baada ya kuzinduliwa watu 200,000 wakaweka...
  9. Gari zinazochukua nauli na kufaulisha abiria nitataja namba

    Asubuhi asubuhi gari inachukua abiria na kumpa mwingine. Kero kubwa Wanapokuwa wanajua hawafiki safari tena ni vizuri wakafaulisha kwa gari ya route moja, gari namba hiyo (donor) inafanya safari zake Bunju Sokoni, na gari iliyopewa abiria recipient inafanya safari zake Tegeta Nyuki - Sokoni...
  10. Nataka Gari

    Nahitaji kununua gari bajeti yang ni kati ya shs Milion8 hadi milion 11 Napendelea gari mojawapo kati ya Ipsum au Wish Plate number ianzie DQ na kuendelea Au yeyote mwenyew Utaalamu wa kuagiza gari kutoka nje ya nchi akinisaidia kujua gharama zote adi usajili kwa gari tajwa hapo juu nitashukuru...
  11. Mtekwaji, usikubali kutekwa bila kuacha taharuki, fanya vurugu, ogopa gari usiogope bunduki kimbia

    Kukubali kuchukuliwa bila kuacha taharuki na kuwajulisha raia eneo hilo kuwa unakamatwa na watu wasio sahihi. Hii inatokea mara Nyingi, mtekwaji anachukuliwa kwa kuaminishwa na Watekaji kuwa ni Maofisa Sahihi kwakuonyeshwa Vitambulisho. KOSA: Ni kuamini kila Ofisa ni Mkamataji mwema, Watekwaji...
  12. M

    Kwa huduma za Mafunzo ya udereva wa awali karibu sana Home of Excellence Driving School

    UDEREVA WA KUJIHAMI KUTOKA HOME OF EXCELLENCE DRIVING SCHOOL Imeandikwa na Mr. Manala Tabu Mbumba, Mhadhiri Msaidizi na Mshauri wa Magari-Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Home of Excellence Driving School inatoa huduma bora kabisa za udereva pamoja na kusaidia upatikanaji wa leseni kwa...
  13. Car4Sale Natafuta GARI ya kununua

    kwema wakuu, nko dar natafuta gari ya mkononi, bajeti 4-5M, vitz/Glanza/carina......nk..cc900-cc1500.. Sihitaji yenye piston 3, ukinirushia picha DM ntashukuru zaidi.
  14. Ninaomba kufahamishwa kuhusu gari la mkataba

    Habari wanajamvi! Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa letu pendwa katika kufikia ndoto ya Tanzania ya uchumi wa kati. Ninaomba kufahamishwa kuhusu hizo Ishu za gari za mkataba. Mfano kuna mtu nimeongea naye anadai nimpatie ama nimnunulie Noah nisajili kwa biashara, nikatie bima...
  15. M

    Msaada Injini ya GX 100 Inaweza kutumika kwenye gari gani nyingine Hasa ya Mizigo (CARGO)

    Habari ndugu zangu nina gari yangu Cresta ina Injini ya GX 100 ambayo bado mpya ila bodi limechoka,nataka kubadili matumizi iwe ya mizigo je ni bodi la gari gani inaweza kuingiliana na injini hiyo? Gari ni automatic.
  16. B

    Gari la msafara wa IGP Sirro laua Morogoro

    Jackline Samwel (9), amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 12, 2019 baada ya kugongwa na gari lililokuwa katika msafara wa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro mkoani Morogoro. Akizungumza na Mwananchi leo kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Mugabo Wekwe amethibitisha kutokea...
  17. Mombasa: Mwili wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini waopolewa

    MWILI wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini katika kivuko cha Likoni maarufu kama ‘Likoni Ferry’ jana saa nne na dakika 20 mjini Mombasa umeopolewa. Polisi limemtaja mtu huyo kuwa ni John Mutinda mwenye umri wa miaka 46 na wakati mwili wake ukiopolewa kutoka baharini, mkewe Ruth Mueni...
  18. M

    Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

    Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu na uzoefu wa wakala wa uagizaji magari kutoka nje ambao hawana longo longo.
  19. Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza ambayo hailali Morogoro, huduma nzuri na luxury?

    Naomba msaada wa kufahamu gari nzuri ya Mwanza -Dar ambayo hakuna kulala Morogoro. Watu wengine wanasema Dar Lux, wengine Ally's na wengine Happy Nation. Naomba wenyeji mnisaidie kujua ipi nzuri hapo na ya uhakika. Natanguliza shukrani.
  20. Full video ya yule mama mchungaji wa sex game ya God, kwenye gari, jikoni twa twa!

    Kuna clip fupi imesambaa mtandaoni ya Pastor Susan Munene akiongea kuhusu umuhimu wa sex katika ndoa. Hii hapa clip ndefu zaidi ikiwa na maelekezo mengi hasa kuhusiana mambo ya ndao. hapa chini ni baadhi tu maneno ya Pastor Susan Munene. Mimeweka full video pia hapo chini. “Kama kuna kitu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…