gari

  1. Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-amtumbua-mkurungenzi-wa-geita-kwa-kununua-gari-la-zaidi-ya-tsh-milioni-400.1818248/ Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
  2. Nipande gari gani kutoka Ali Hassan Mwinyi Road kwenda Bamaga?

    Habari zenu. Naomba kujua kutoka mtu anayejua nipande Daladala ipi kutoka Aga Khan kwenda Bamaga.
  3. Car4Sale Nunua gari ambayo hujawahi kuona Tanzania

    Toyota Landcruiser (Unique car) Make TOYOTA Model FJ Cruiser Engine size (cc) 4000 Fuel Petrol Color Silver 70,000,000
  4. D

    Mwili wa binadamu ni kama gari

    Unaambiwa usiku mwili hautakiwi ule ushibe sana halafu ukalale ni sawa na gari ujaze mafuta full tank halafu ukapaki Unaambiwa mazoezi siyo adhabu asubuhi baada ya ufanya mazoezi hutakiwi kujipongeza kwa kulala usingizi kama ishara ya kupumzika ni sawa na gari uliwashe na kupiga mares kibao...
  5. Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako...
  6. Gari yangu inalia mlioo wa kukakamaa napokata kona mpaka mwisho, tatizo ni nini?

    Ni gari aina ya toyota sprinter, unapozungusha steering wheel (msteringi 😂) kwa sana inaanza kupiga kelele ka ka ka ka, kuna vishindo unavisikia kwa mbali vinavyoambatana na hio sauti. Na kama vp tusaidiane bajeti ya kutegemea, nsije pigwa na mafundi. MREJESHO Sehemu ya kwanza alikopeleka...
  7. K

    House4Sale Kubadilishana nyumba / kiwanja kwa Gari

    Sold
  8. Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

    Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy. Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye...
  9. Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

    Namiliki babywoka jamii ya IST, Swift, Honda Fit au Passo. Asubuhi napowasha gari au mfano gari nimepaki mahali muda mrefu, nipokuja kuwasha gari si inakuaga P? Okey, sasa nashika gear lever naweka Reverse kutoa parking/getini. Kisha nikipeleka D au L au 2 ili niondoke, gari inafanya kama...
  10. Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

    Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
  11. Devel Sixteen V16: Gari yenye kasi zaidi duniani

    Leo sio Bugatti, Mclaren wala Koenigsegg , mambo this time yako tofauti na hii ni rekodi ya tangu mwaka 2018. Devel Motors yenye makazi yake mjini Dubai waliachia huo mdude 2018 wenye top speed ya 310 mph ( 500 km/h ) 😃 😃 Model: 2018 Devel Sixteen Year: 2018 Top Speed: 310 mph (500 km/h)...
  12. Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

    Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo . Chombo iyo 14m lazima niwatembezee moto
  13. M

    INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

    Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa Ni imara na haikati misumeno Ina watts 550 Ina sehemu ya kusagia nyama Ina warranty mwaka mmoja Bei 1,350,000 tu Tunapatikana kariakoo ndanda st Tunadeliver free kwa dar pia. Call/text/WhatsApp 0656666662.
  14. Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

    Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu. Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits. Nashukuru.
  15. Watu wengi wanaoendesha gari aina ya Alteza ama Subaru wana tabia hizi

    Watu wengi wanaoendesha magari aina ya Alteza ama Subatu wana matatizo, ni watu wanaopenda kusikika ama kujulikana kama wapo, watu wanaopemda kutambulika uwepo wao, kwa kitaalamu tunaita Histrionic personality disorder (HPD) ama attention seeking disorder. Mtu yeyote ambaye anapenda kutambulika...
  16. GEITA: Afisa ardhi Agustino Sibeye mbaroni kwa kuwagonga na gari na kuwaua wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
  17. Unga wa kwenye bomba la kutolea moshi wa gari una kazi gani?

    Sijui mimi ni mshamba au vipi! Lakini ukweli ni kuwa inaonesha unga huo umekuwa dili, unatolewa sana. Sasa je, hakuna madhara kwenye gari lililotolewa huo unga?
  18. S

    Afisa wa Umoja wa Mataifa hapa nchini akana gari zilizotumia namba za UN huko Hai kwenye tukio la kushambulia walinzi wa Mbowe

    Ni Zlatan Milisic ambae ni UN Resident Coordinator kwa hapa nchini na ameandika hivi kupitia twitter: Fake UN plates! I wish to clarify that cars with UN license plates reported in Hai today at more than one location have nothing to do with the UN. They are not UN cars; these are not official...
  19. B

    Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
  20. N

    Mchezaji wa Nkana afariki kwa ajali ya gari

    Ni kiungo wa nkana crispin mulenga kafariki jana kwa ajali kacheza juzi meci ya charity shield dhidi ya indeni team iliopanda daraja ambayo anachezea mcheaji wa zamani wa utoplo fc Juma abdul,kwenye picha huyu hapa yuko mbele ya ramadhani singano messi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…