gari

  1. K

    Je, kuna uimara katika gari iliyofufuliwa?

    Habar wanajamvi, Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo? Gari ni range rover 4.6HSE.. Msaada kwa wataalam na wazoefu
  2. P

    Mwl Nyerere aliambiwa kwanini wananchi wanamsukuma Mrema na gari yake Dar hadi Kibaha

    Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe. Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
  3. Ninunue ipi kati ya Bajaj na Gari kwa biashara ya Bolt

    Wakuu nataka kukunua kati ya bajaj au gari ndogo mfano Vitz/IST or the like ili nimweke dereva apige biashara ya Uber au Bolt. BAJAJ Kwa upande wa Bajaj ikiwa mpya bei ni 7.35M na kwa sasa walio wengi wananunua na kuingia mkataba na dereva kwa miaka miwili ambapo kwa siku ni 20k bila kujali ni...
  4. W

    Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  5. Unapotaka kuagiza gari au chochote nje ya nchi, usikurupuke..

    Habari za wikiendi pevu wadau wa JF, Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali. Ni kweli kuagiza kutoka nje ni nafuu kuliko kununua hapa nchini, lakini ni lazima kuwa mwangalifu kuepuka kupata hasara na...
  6. Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

    Salaam wakuu, Naombeni ushauri ninune gari gani kwa milioni 6. Nahitaji gari yenye fuel efficiency nzuri, space ya kutosha hasa mbele (mimi mrefu) pamoja na upatatikanaji spare. Nitashukuru pia kama mtapendekeza kwa gharama hiyo napata namba ipi? NB: Hii ni ya kununua kwa mtu.
  7. Jihadhari na hiki kituo cha mafuta cha Victoria

    Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili! Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo. Kuna katatizo hapa. Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako! Sijui EWURA wanasemaje hapo. NB Kuna wadau mtawaona huko mbele wanadai nimeandika kwa chuki binafsi au nilikuwa...
  8. M

    Ajali ya gari Mkuranga

    Habari Wanabodi kuna ajali ya gari imetokea usiku wa kuamkia leo barabara kuu ya Kilwa eneo la Mkuranga kijiji cha Dundani ambapo semi la Dangote limegongana uso kwa uso na gari la Tanesco Mkuranga na kusababisha vifo kwa watu 4 sikufanikiwa kupata picha but poleni wafiwa na update zaidi atujulishe.
  9. Tayari LC 300 ni gari ya polisi Dubai

    Dah hawa jamaa bana.... Latest Toyota Land Cruiser becomes cop car, joins Abu Dhabi, Dubai police fleets
  10. Ushauri: TRA waweke tozo na kuruhusu magari ya IT (in-transit) kubeba abiria

    Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...
  11. K

    Wazo: Gari zote Automatic chini ya tani mbili zibadilishwe kuwa manual kupunguza msongamano!

    Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive
  12. Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

    Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa. Na taarifa...
  13. Ipi ni Gari nzuri Kati ya Prado Tx cc 2690 na Toyota klugger cc 2360

    Natamani kuwa na Gari kubwa nzuri kwaajili ya matumizi binafsi. Hapa natamani kujua Gari ipi nzuri kwa kuangalia vitu vifuatavyo. 1. Uimara 2. Matumizi ya mafuta 3. Service 4. Muonekano Najua zipo Vanguard na harrier new model Ila Bei imenitoa huko haswa used Tz. Ila kila nikiangalia hizi...
  14. Nimeanza na kudeposit 100,000, nataka ninunue gari

    Leo nimeweka laki moja kwene acc maalumu kwa ajili ya kununua gari Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black Bei zake nimechek cheki kwenye mitandao ni milion 23-24 Sijui itabichukua muda gani kufikia lakini nimeona bora nianze kujichanga naipenda sana hiyo gar! Ebu mnishauri mliofanikiwa...
  15. F

    Gari iliyotumika Zanzibar na yenyewe inakaguliwa ubora na TRA

    Nawasalimu nyote na napenda kuulizia nina gari yangu ambayo nilikuwa naitumia huku Kwa wazee wa Madrasa na natarajia sasa kurudi nyumbani bara. Je ukiachana na malipo ya kawaida ambayo ni salio la Kodi, nalazimika pia kupitia mlolongo wa ukaguzi chini ya TRA? Kama ndivo nijipange make nimeona...
  16. Mwanza: OCD Bukoba, Babu Sanare afariki kwenye ajali ya gari

    Taarifa ya ajali SSP Babu Sanare OCD Bukoba amepata ajali mbaya gari yake kupinduka maeneo ya Igaka Sengerema na kupelekea kifo chake. Bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe.
  17. Ruvuma: Mwalimu afariki kwenye ajali ya gari, wengine 11 wakiwemo wanafunzi wajeruhiwa

    Mwalimu Jumanne Makandilu amefariki dunia huku watu wengine 11 wakiwemo wanafunzi 7, wakazi wa Mkoani Songwe wakijeruhiwa baada ya gari waliyopanda kutumbukia kwenye korongo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati wakitoka Kwenye Michezo ya UMITASHUTA na UMISETA Mkoani Mtwara. Chanzo: ITV
  18. Ufa kwenye kioo cha gari (cracked windshield). Je, kuna repair ya uhakika?

    Jamaa yangu amepata crack (ufa) kwenye kioo cha mbele cha gari (windshield). Anasema inazidi kuongezeka (kurefuka) Je, kuna repair ya cracked windshield kwa uhakika? ama ni hamna namna tena? -Kaveli-
  19. Umeshawahi panda/endesha gari ya Mkata Kimeo?

    Mwaka 1998 nlipanda gari ya jamaa yangu. Benz akanishawishi sana siku hiyo twende Morogoro na gari yake akaoneshe ndugu zake ana Mercedes Benz. Hapo kabla nlienda naye ila tulitumia gari yangu. Ile safari siwezi isahau...ilikuwa na kwikwi nyingi na chafya mfululizo gari kila baada ya muda...
  20. Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

    Wanabodi habari, Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni. Naomba ufafanuzi tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…