gari

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  2. Judah Tribe

    JamiiForums Tanzania Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Updates za Paris Motor Show 2024 (Tarehe 14 - 20 October)

    Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari. Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Elon Musk amezindua TESLA Cybercab na Robovan: Gari za kukodi zisizo na Dereva!

    Kwenye Tesla event ya tar 10 mwezi October California iliyopewa jina la “We Robot”, Elon Musk, CEO wa Tesla, amezindua magari ya kukodi yanayojiendesha yenyewe, Cybercab na Robovan. Cybercab ni gari dogo yenye gull-wing door isiokuja na steering wheel wala pedal za breki wala mafuta...
  5. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Container za 45ft zinafika Tanzania? Je, kuna magari ya kubeba?

    Shipping container zipo za sizes tofauti kuanzia 60ft 53ft 48ft 45ft 43ft 40ft 35ft 20ft 15ft 10ft 7ft Swali langu jee, Container za angalau 45ft bongo zinafika? Kama ndio, napata wapi? kama hazifiki inaweza kuwepo option ya kuagiza, jee kuna semi trailer truck zenye chassis ndefu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
  7. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kutetemeka kwenye speed likifika speed ya 70kph hadi 80kph

    Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo. Naombeni msaada wataalamu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukwaruziwa au kuharibiwa gari yako ulichukua uamuzi gani kwa mhusika?

    Nakumbuka hapo cha miaka ya 2013 niliwahi kuwa kwenye foleni ya barabara ndogo tunasubiri kuingia barabara kuu , Ghafla nikahisi kishindo kizito kwenye buti, kuagalia nyuma ni gari aina ya mark 2 Grande imeparamia. Sikupoteza muda nilishuka na sura ya kazi nikaifuata gari iliyoparamia, Kulikuwa...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania McLaren W1 Supercar yazinduliwa. Ndio itawarithi McLaren P1 na F1. Itauzwa Billion 5.7 za Kitanzania tu!

    McLaren Automotive jana tarehe 06 October wametangaza chuma yao mpya McLaren W1 wameipa codename P18. Hii Plugin-hybrid itaanza kuuzwa mwakani 2025 na ndio itakayowarithi wakongwe P1 na F1 waliokuwepo tokea miaka ya 90s (F1) na miaka ya 2010s (P1). W1 ni 2-doors coupé itakayokuja na gull-wing...
  10. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Sheria kuhusu jinsi ya kupaki gari kwenye parking lot ya Bank?

    Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka. Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
  11. USTADH ARABI SAIDI

    JamiiForums Tanzania GARI TOYOTA COROLLA INAUZWA

    Toyota Corolla One Eleven 111 colour white cc1394 Engen 4E Bei Tsh 6M (Maongezi yapo kidogo) Location- Bunju, Dar es Salaam Fully Document Gari ni Manual Injini safi ni kuwasha na kuondoka Piga Simu 0684129792
  12. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

    Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kwa Bajeti ya 5.5 Milioni

    Nahitaji kununua mojawapo kati ya hizi Nadia Allex Spacio old/new. Bajeti yangu 5.5M Mwenye nalo anicheck
  14. Topman

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa gari la kwanza

    Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa then badae mambo yakienda sawa nita upgrade. Kwa uchunguzi niliofanya nimekuja kugundua mafundi wengi wa magari...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?

    Wakuu. Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia. Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya hatari zaidi usipokua makini. Sasa kuna vitu vya kuzingatia unavyotaka kununua, tutaviweka kwenye...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yakabidhi gari la kubebea wagonjwa, litatoa huduma kwa wafungwa na mahabusu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu. Katibu Mkuu amezindua na...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

    Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti. Duniani cheza na...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari aina ya Starlet

    Habari wandugu naulzia gari aina ya ya starlet kwa anayeuza. Natanguliza shukrani. Model kama hiyo hapo chini
  19. danhoport

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia size ya tairi ya gari

    Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako, Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii viwango vya usalama. Kila sehemu ya nambari inasimamia nini: Upana(width) - Upana wa tairi katika...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
Back
Top Bottom