gari

  1. Mad Max

    Kama Steering Wheel ya gari lako haina Buttons, we bado unajitafuta!

    Wakuu, tuendelee kupambana tupate pesa halali. D for Drink. Unaweza weka beer au maji.
  2. Oscar Lyrics

    Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk. Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna...
  3. BARD AI

    Tundu Lissu: Michango ya Wananchi kwaajili ya kununua Gari langu imefika Tsh. 104,081,139

    Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104. Lissu ameandika kupitia Mtandao wa ax (Twitter) kuwa "Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13...
  4. FORBIDDEN HISTORY

    Tulipokuwa makinda wala tusingekubaliana na wazo la kumnunulia gari awala lakini kumbe safari ya mafanikio ailandani na ideology ya njaa.

    Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class. Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner. Kama...
  5. T

    Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
  6. Mad Max

    Maboss wa JamiiForums kuna gari lenu hapa la umeme: Rolls Royce Spectre

    Katika press conference mwaka 2010, wakati iPhone 4 imetoka, Steve Jobs alivyoulizwa kama Apple wana mpango wa kutoa simu kubwa alijibu "no one is going to buy a big phone", akiamini kwamba size ya 3.5 inch ni perfect kwa simu. Muda huo ilikua kijembe kwa Samsung S1 iliyokua na 4 inch. Kwa muda...
  7. Mad Max

    Gari la umeme (EV) la iCar® V23 itauzwa $16,000/= tu

    Kampuni ya China ya Cherry wakishirikiana na Xiaomi, wametoa gharama za kununua SUV EV yao ya iCar V23 itauzwa kwa $16,000/= tu. Ikumbukwe Cherry ni kampuni la magari la China sasa wamejoint na Xiaomi na kutengeneza series ya iCar mbalimbali ikiwemo SUV V23, iCar V25, iCar 03 na iCar GT zikiwa...
  8. Yoda

    Democrats wa Marekani wamechanganyikiwa? Mbona wanajiendea kama gari bovu?!

    Mbona karibia viongozi wote wa chama cha Democrats wamekimbilia kumuunga mkono Kamala Harris ambaye ni mtu wa mrengo kushoto wa mbali kabisa na mwenye nakisi kubwa katika CV yake panapo masuala ya uchumi na usalama? Kwanini vigogo wa Democrats hawakutaka kujielekeza zaidi kuwaachia wajumbe wa...
  9. Mad Max

    Chagua gari hapa ufute Kisahani...

    Walioweka Maximum speed sio wajinga. Kutana na highway uko USA, Death Valley park. Chuma gani ukiipata hapa unafuta kisahani bila kujifikiria mara mbili?
  10. GENTAMYCINE

    Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

    Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
  11. The Supreme Conqueror

    Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  12. Upcoming

    Car4Sale Nauza Toyota Rush - Price 12m

    Karibuni wadau nauza gari aina ya Toyota Rush (SERIOUS BUYER ONLY) Engine - Petrol 1491490 Seats - 5 Colour - Mid Night Silver Metallic Transimition - Manual Mileage - 103,000
  13. R

    Spare za Nissan Serena

    Nitapata wapi spare used za Nissan Serena au written off gari aina hiyo ambayo mtu anauza spares
  14. L

    Chadema acheni ubaguzi, Lissu anachangisha hela apate gari hamhamasishani, dogo kafungwa kule Mbeya familia ya Mbowe inachangisha

    Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya. Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
  15. H

    Kuweka tinted kioo cha mbele cha gari

    Katika mazingira ya kawaida kuweka tinted sio tatizo na yapo baadhi ya magari huuzwa yakiwa nayo kutokata na kazi ya msingi iliyokuwa inafanywa na gari husika Ila sasa huku ULIMWENGU WA TATU imekuwa changamoto pale watu wenye nia ovu wanapotumia huo mwanya kufanya uhalifu Mfano: 1. Watekaji...
  16. T

    Tunatoa usaidizi na ushauri katika kuagiza gari

    Habari wanajamvi, Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza magari kutoka nje..ambao pengine wanahitaji usaidizi. Mchakato uko hivi; 1)Tuwasiliane tujadili gari...
  17. and 998 others

    Mchango ununuzi Gari la Lissu umefika kiasi gani?

    1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango. 2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
  18. Yoda

    Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  19. Nyanda Banka

    Nizingatie vitu gani muhimu wakati wa kununua gari ili nisije jutia baadae?

    Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute NISHTUENI WAZEE
  20. kingjohn255

    Unahitaji kununua gari yenye viwango bora na bei inayoeleweka?

    JOEX MOTORS TANZANIA LTD, ni kampuni tanzu kutoka Joex Holding Group, sisi ni waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan na Europe, tunaagiza, na kuuza magari yenye auction grade ya kuanzia 4.0 na kuendelea mbele Kwetu kabla ya kumuagizia mteja gari, tutamshauri, tutamsaidia kumfanyia...
Back
Top Bottom