gari

  1. S

    Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  2. jijiletushop

    Car4Sale Gari inauzwa Nissan Patrol

    Nissan patrol Engine D 45 Ac Available Fully working Halogen Lights Tsh 16,000,000 haina shida yyte Maongezi yapo🙏 0774446553 Location Arusha
  3. kipoma

    Gari hizi zina matatizo gani? Watu wengi wanazikataa

  4. M

    Gari dar-bukoba choo ndani

    Wadau nauliza gari nzuri ya dar-bukoba yenye choo ndani
  5. W

    Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

    Habari za mchana watu wangu Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50) Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
  6. dr namugari

    Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

    Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol Je tumchukuwe hatua gani kama raia
  7. U

    Kwa mara nyingine leo ijumaa kiongozi mwingine wa Hezbollah Saeed Mahmoud Diab auawa kwa drone ya IDF, akiendesha gari

    Wadau hamjamboni nyote? IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao! Leo kwa mara nyingine tena wamefanikiwa kuliua kubwa lingine la magaidi likiwa ndani ya gari lake huko Lebanon ya Kusini IDF...
  8. Nyani Ngabu

    Gari yako ishawahi kukuambia hivi?

    Haya magari ya siku hizi noma sana. Pata picha uko kwenye highway, expressway, freeway, interstate, etc. Kwenye uendeshaji wa magari kuna kitu kinaitwa highway hypnosis. Ile hali ambayo ukiwa unaendesha gari lakini unajikuta unaacha kuwa attentive na kuangalia barabarani na akili yako inakuwa...
  9. M

    Zuchu aahidi kumnunulia Anjela gari

    Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na hakuna anaejua kesho huenda iko siku Anjela atakuja kumsaidia na yeye.
  10. M

    Gari za kwenda bagamoyo zinapatikana wapi

    Habar wakuu hivi gari zakwenda bagamoyo unapandia wapi mwenge au makumbusho au tegeta
  11. M

    Natafuta gari la kukodisha

    Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
  12. M

    Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

    Wakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
  13. D

    Gari aina ya Runx nyeusi linahtajika

    Nahitaj gari used Runx nyeus No D kwa anaeuza anichek DM nipo Dom.
  14. baharia 1

    Natafuta gari ya ml. 4

    NINA 4,000,000 NIPE MOJAWAPO 👇 Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
  15. M

    Natafuta gari dogo la kukodisha Dar

    Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
  16. M

    Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

    Wanajamvi Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani. Hii imekaaje?Ni sahihi kweli? Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
  17. Morning_star

    Bilionea wa Nigeria amezikwa na gari mpya BMW lenye dhamani ya shilingi milion 800 mwaka 2018

    Bilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti.. === A Nigerian man has recently buried his father in a brand new BMW, instead of a coffin, according to...
  18. kingjohn255

    Nunua gari unayoweza kuihudumia na sio gari uipendayo

    Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kununua gari wanazotamani kuwa nazo, lakini ukweli ni kwamba matumizi ya gari kuna muda ni makubwa kuliko uhalisia wenyewe, mimi kama muagizaji na muuzaji wa magari leo napenda kuwashauri jambo moja kuhusu fomula ya kutumia gari. Nunua gari ambayo unaweza...
  19. GENTAMYCINE

    Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

    Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume. "Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
  20. M

    Kuna gari za Kahama kwenda Bukoba?

    Habari, Nataka niende Bukoba..je Kahama Kuna gari za kwenda Bukoba na zinaondoka saa ngapi..na gari Gani nzuri kufika Bukoka ...nauli ni shingap nani mwendo wa masaa mangapi?
Back
Top Bottom