gari

  1. Roving Journalist

    Serikali yakabidhi gari la kubebea wagonjwa, litatoa huduma kwa wafungwa na mahabusu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu. Katibu Mkuu amezindua na...
  2. GENTAMYCINE

    Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

    Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti. Duniani cheza na...
  3. U

    Nahitaji gari aina ya Starlet

    Habari wandugu naulzia gari aina ya ya starlet kwa anayeuza. Natanguliza shukrani. Model kama hiyo hapo chini
  4. danhoport

    Jinsi ya kuangalia size ya tairi ya gari

    Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako, Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii viwango vya usalama. Kila sehemu ya nambari inasimamia nini: Upana(width) - Upana wa tairi katika...
  5. Mad Max

    Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  6. G

    Ni ipi siri ya kuweza kubalance klachi kubadili gia kwenye gari za manual

    Ni kwa miaka zaidi ya 15 gari pekee nazoendesha ni automatic Gari za manual nazipenda ila napata shida kubalance klachi na moto wakati wa kubadili gia. nikiachia klachi nikianza kukanyaga moto wakati nabadili gia, gari inaruka ruka. Tupeane ujuzi na tips
  7. mjasiriamali mdogo

    Hivi kuna gari zaidi Vitz na Passo ambazo sio hybrid Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?

    Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu. Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
  8. Hhimay77

    Gari za kukodi

    Unahitaji gari la kuaminika kwa siku chache au wiki? Usiende mbali! Rhond's company limited huduma zetu za kukodisha magari zinatoa: Magari yaliyotunzwa vizuri Vipindi vya ukodishaji vinavyobadilika Bei nafuu Mchakato wa haraka na rahisi wa kuweka gari Safiri kwa faraja na uhakika...
  9. Mad Max

    Changan Auto wamezindua Nevo E07 EV ambayo ni SUV na Pickup truck!

    Hawa Wachina wamevurugwa. Changan Auto wamekuja na Nevo E07 ambayo ni shapeshifter kama kwenye movie, ikimaanisha inaweza kua SUV na ukiamua kwa button moja tu inageuka inakua Pickup truck. Hii chuma inakuja na options mbili, either full electric vehicle (EV) au range extender electric...
  10. politics observer

    Msaada jamani, hizi gari zinashida gani?

    Natumai wote n wazima wa afya… Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani? Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model.. Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
  11. warzone

    Gari yangu nikiweka gia ya parkingi au N inazima

    Habari wakuu,nina gari yangu Mark x nikiwa naweka gia ya P au N inazima Tatizo linaweza kuwa ni nini kabla sijaenda kwa fundi nipate idea kidogo, nipo Dodoma
  12. politics observer

    Msaada jamani: Haya magari yana shida gani?

    Natumai wote n wazima wa afya… Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani? Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model.. Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
  13. Ibanda1

    Msaada wa haraka: Jinsi ya kuangalia fine kwenye gari ama leseni

    Habari za jioni wanajukwaa; Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni. lakini nikakumbuka siku za nyuma...
  14. kipoma

    Kati ya Toyota spacio na Toyota raum nichukue gari gani hapo?

    Msaada wataalamu
  15. SSH2025_2030

    Kupitia kikundi, tunakabidhi gari kila wiki

    Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika anachagua gari isiyozidi TSH 20m toka yard ambazo tuna mkataba nazo Dar es Salaam. Ukichukua gari yenye thamani chini ya 20m TZS unachukua chenji yako...
  16. Dr. Zaganza

    Nahitaji moja ya gari hizi kwa milini tatu na nusu

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni tatu ,natafuta moja ya gari hizi pichani.Niko Kibaha,piga 0713 -039 875
  17. Waufukweni

    Al-Ahli Tripoli wagomea Gari kubwa, mizigo yote wamepakia kwenye Kenta

    Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya. Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano...
  18. Kaka mwisho

    Kati ya hizi gari, ipi ni nzuri Kwa mizunguko hapa mjini.

    Kati ya hizi gari ipi ni nzuri na Bora Kwa mizunguko ya hapa mjini.
  19. JituMirabaMinne

    Nimekagua Gari sita Yard siku ya leo, majanga ni makubwa.

    Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari. Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA. Gari imeshushwa 120,000Km sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo. inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa...
  20. Dear_me_

    Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
Back
Top Bottom