gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  3. JamiiForums Tanzania maombolezo kwa maandamano ni utamaduni kutoka kabila gani hapa Tanzania?

    Hivi maombolezo imekuwa ni dhihaka kiasi hiki??Maombolezo sio ibada ...?? Eti maombolezo kwa kuingia barabarani na slogan ya SAMIA MUST GO.... hawa vibaraka wa mabeberu wanatuletea tamaduni za nchi gani?? #KATAA WAHUNI
  4. JamiiForums Tanzania Ni kauli gani aliisema ukajua kabisa hakupendi?

    Mimi nilimuuliza kama ananipenda kweli akaniambia yeye hana chuki na mtu.
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu katuita Watanzania Wakosoaji (Critics) kuwa ni 'Makhulukutabu', je, ina maana gani?

    Arovera, mrangi, Bila bila, King Kong III, SAGAI GALGANO kuna Mtu kawaiteni huko 'Makhulukutabu' mmekubali Wakuu?
  6. JamiiForums Tanzania Content Creators mnaoanza (Episode III): Unatumia Application au Software gani kwa Editing?

    Baada ya kuona Episode I: Kuchagua Camera, Episode II: Kuset light, sasa simply nikukumbushe Kufanya Editing. Edit ni process ndefu, na inachukua muda kujifunza. Ila hainamaana uogope, kikubwa keep on trying kila siku kuimprove quality ya video na audio yako. Software na Apps ambazo unaweza...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

    Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
  8. JamiiForums Tanzania Komwe ni nini na lina uhusiano gani na wanawake?

    Komwe ni nini? Lina/ina uhusiano gani na wanawake? Kwa nini Kila linapozungumziwa komwe huwa linahusianishwa na wanawake? Linavutia au halivutii kwa wenye nalo?
  9. JamiiForums Tanzania Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

    Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya...
  10. JamiiForums Tanzania Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ni ajira gani ambazo wanaume wanalipwa zaidi ya wanawake?

    Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake. Hii ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, hali inayosalia...
  12. JamiiForums Tanzania Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

    Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu! Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine...
  13. JamiiForums Tanzania Mauji beach ya Ununio na yale ya Dodoma yanatuma ujumbe gani kwa uongozi?

    Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu. Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  15. JamiiForums Tanzania Huko uliko kilo ya maharage ni kiasi gani? Hapa Dar Tsh 3,400

    Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja. Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini wanaumia sana na watakosa milo iliyokamilika. Nawasilisha
  16. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo Nimeweka na kielelezo Dominika njema
  17. JamiiForums Tanzania Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

    Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles..... Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin. Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking...
  18. JamiiForums Tanzania Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua

    Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua Waisrael zaidi ya milioni 2 wakimbilia mashimoni BREAKING: [emoji1267][emoji1134] Yemen confirmed that they used a hypersonic ballistic missile in the attack on Tel Aviv Yemeni Armed Forces says it hit an Israeli...
  19. JamiiForums Tanzania Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

    Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba. NI Bidhaa gani ni za muhimu kuwepo ndani ya kwa maisha ya sasa?
  20. JamiiForums Tanzania Vitu gani vinaonyesha udhihilisho wa uwepo wa Mungu hapa duniani? Hata kama wewe ni atheist!

    Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…