gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ninapotaka kununua ardhi kutoka kwa mtu ni vitu gani vya msingi kuzingatia?

    Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
  2. JamiiForums Tanzania Kitu gani umejiuliza sana lakini hupati majibu?

    Naamini kuna vitu vidogo vidogo tunagundua kwenye maisha ambavyo vinatushangaza lakini inakuwa ngumu kupata majibu ya jinsi vilivyo.... Nimefungua hii thread kama njia ya kupata majibu. Naona kama haitofaa kufungua uzi kwa kila swali kwasababu ni mawazo ya haraka haraka tu, sidhani kama yana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  4. JamiiForums Tanzania Vinasa sauti (spy voice recorder) wanavyotumia wapepelezi vinaweza kupatikana maduka gani?

    Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora cha kusoma Bachelor of Law kati ya hivi?

    Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa 1. RUAHA university-Iringa 2. Iringa university-Iringa 3. Tumaini Makumila university-Arusha 4. Mzumbe...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukwaruziwa au kuharibiwa gari yako ulichukua uamuzi gani kwa mhusika?

    Nakumbuka hapo cha miaka ya 2013 niliwahi kuwa kwenye foleni ya barabara ndogo tunasubiri kuingia barabara kuu , Ghafla nikahisi kishindo kizito kwenye buti, kuagalia nyuma ni gari aina ya mark 2 Grande imeparamia. Sikupoteza muda nilishuka na sura ya kazi nikaifuata gari iliyoparamia, Kulikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Maneno gani mazito ya mwisho ungependa yasomwe kwenye msiba wako watu wayasikie

    Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki. je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga: Kuweka picha kwenye tangazo bila jina la mhusika, inamaanisha Nini au unatuma ujumbe gani

    JF Ninaomba kueleweshwa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni idadi gani ya watu waliowezesha mapato ya shilingi trillioni 3.1 kwa mwezi Septemba?

    Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya Tanganyika. Awali ya yote naipongeza TRA kwa kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato kwa mwezi Septemba hadi kufikia Trillioni 3.1. Pia nilishtushwa na taarifa za idadi ya watanzania wanaolipa kodi kwamba ni milioni mbili tu. Hata hivyo ni jambo jema kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nani anaiongoza Lebanon na Hezbollah ina nguvu gani?

    Lebanon imekuwa chini ya mashambulizi makali ya makombora kutoka kwa Israel katika muda wa wiki mbili zilizopita, ambayo yameua zaidi ya watu 1,000, na eneo lake limevamiwa na wanajeshi wa Israel. Hii ni kwa sababu ya mzozo wa sasa kati ya Israel na Hezbollah - chama cha kisiasa na wanamgambo...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Umeitambua hii ni timu gani?

    KITENDAWILI: Mechi ya kwanza 4️⃣ Mechi ya pili. 3️⃣ Mechi ya tatu. 2️⃣ Mechi ya nne. 1️⃣ Mechi ya tano sare Mechi ya sita itakuwaje?
  12. JamiiForums Tanzania Je, unajua ni kwa namna gani maks zako zinapatikana usaili wa kuzungumza bila upendeleo ikiwemo sekretariate?

    👉One of the biggest concerns people have during interviews is the fear of being unfairly judged by the interviewer based on attitude and perception. Today, I will share how your marks are protected. Naaam! Mchakato wa utoaji maksi umedhibitiwa vizuri kwa kiasi hasa pale sekretariate ya Ajira😁...
  13. JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri kumtembeza mgeni jijini Dar?

    Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi tumekutanishwa home na kwa hizi siku tatu kangependa kakate kiu ya kulifurahia jiji hili la raha na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

    MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
  15. JamiiForums Tanzania Tunawaacha watoto wetu katika mikono ya day care ila katika guarantee ya usalama bora kiasi gani?

    Wakina diddy wamevamia sekta ya day care Ni mwendo wa kutengeneza mashoga wengi maana mtoto wa kiume atajua kufirw ni kawaida maana alikuwa molested tangu utotoni Yale ya dereva na mwenzake wa school bus kubaka kaanafunzi ka kike ka-kindergarten. Kesi za kujirudia rudia za Waalimu wa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ipi tofauti ya Masters of Applied Economics na Master of Economics au Masters of Applied Statistics na Master of statistics?

    Habari WanaJF. Nahitaji kwenda kusoma master kati ya econimics au statistics, nimeangalia prospector za vyuo mbalimbali nikakutana vyuo kama UDSM wanatoa MASTERS OF APPLIED ECONOMICS NA MASTER OF ECONOMICS. Vilevile nimeangalia Mzumbe University wanatoa MASTERS IN APPLIED STATISTICS wakati...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Startimes kuna tatizo gani?

    Channel pekee ninayoipata yakulipia ni ESPN pekee lakini zingine zote zimekata zimebaki tu local channels wakati bado package iko active hadi mwisho wa mwezi Siwezi sema ni tatizo la signal strength kwamba dish imeyumba wakati local channels zinapatikana pamoja na ESPN, kama ingekua ni tatizo...
  18. JamiiForums Tanzania Unaweza kukabiliwa na adhabu gani endapo ukitembea kipindi bendera inashushwa?

    Najua humu ndani pia wapo makauzu waliovurugwa na wenye stress zao juu ya ugumu wa maisha hasa ukizingatia kama magari aina ya mashangingi, ma cruiser, na ma fortuna STN Yananunuliwa kila uchwao... ni wale ambao wanapopita karibu na taasisi za umma mida ya 18:00 jioni huwa hawana habari hata...
  19. JamiiForums Tanzania MJADALA HURU: Chupa elfu moja za mafuta ya watoto zilizokutwa nyumbani kwa PDiddy zilikua na matumizi gani

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani AU TUMUULIZE...
  20. JamiiForums Tanzania Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…