gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

    Wakuu habari za humu ndani. Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu. Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa...
  2. JamiiForums Tanzania Shemeji mwizi & Mzinzi, anayependwa sana na mumewe. Je, ukigundua anataka kumtoroka ndugu yako, utachukua hatua gani?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa) Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Umri gani ulianza kumruhusu "dogo" aendeshe ndinga ya nyumbani?

    Wa vitabuni unajulikana ni miaka 18 huo unafahamika. Wewe ulimwanzishia akiwa umri gani?
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

    Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani. Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe. Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu? ---- Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanywaji wa Maji ni Maji Gani!? Yana radha nzuri kwa mwaka 2024

    Mimi Kilimanjaro miaka na miaka 😁 tililika na wewe mwanawane😉
  6. JamiiForums Tanzania Utatumia mbinu gani kukwepa ndoa ya kimasihara?

    ikitokea Umemleta demu ghetto ukidhani atakaa siku moja mara ghafla anakata wiki nzima, hujakaa sawa anafuata kwao mabegi na baadhi ya vyombo, mara ghafla anaanza kukuuliza mtoto wetu wa kwanza tutamuita nani?, wakati huna hata mpango wa kuoa, je utalikiambia ghetto lako au utatumia mbinu gani...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa ina faida gani ?

    Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa .. Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume unatakiwa ule nini ili utoe shahawa za twins au triplets, Je, kisayansi vyakula gani pia mwanamke inabidi ale

    Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne. Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
  9. JamiiForums Tanzania Swali la Siku:Jambo gani wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unahisi halikuwa la Kweli?

    Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake. Mdau, je, ni jambo gani hasa, kuanzia hatua ya kutangaza nia kwa wagombea hadi mchakato mzima wa uchaguzi, unahisi...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya na watalam wa afya ya mlaji mnatowa elimu gani kuhusu hili?

    Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ni baada ya muda gani naweza Kuuza vipande kwenye mfuko wa Liquid Fund baada ya kununua?

    Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu au mwaka labda?
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia hayuko teyari kuzaa kwa sasa huyo sio wako piga chini haraka anaekupenda atakubebe mimba fasta ili asikupoteze

    Ndugu zangu. Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kustaajabisha uliwahi kukiona kwa mtu ulipoenda kumtembelea ukashindwa kuielewa ni wapi alikipata?

    Niliwahi kuona Jamaa wa kwanza alikuwa na kibao Cha ubalozi wa ufilipino ndani Wa pili ni demu ana mashuka yameandikwa PRISON ROOM 4. Wewe ulikutana na nini?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

    Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
  16. JamiiForums Tanzania Hiki ni kiwango gani Cha mshahara?

    Wakuu Salary scale TAAS 3 Hiyo ni bei gani?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Bilionea Mbowe, amewekeza Bei Gani sisizo na maandishi CHADEMA?

    Hellow! Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama, Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu. Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt...
  18. JamiiForums Tanzania Account gani ya ajabuajabu ya mitandao ya kijamii unaifuatilia?

    Iwe facebook, instagram, twitte nk. Ni account gani unaona hii kwa kweli ni ya ajabu na unaifuatilia. Mi kuna hii ya instagram watu toka sehemu mbalimbali duniani wanapost fimbo🤣 officialstickreviews. https://www.instagram.com/p/DDkCR8JOxwG/?img_index=1&igsh=eXF0ZmcwbmJiN294
  19. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Afrika watanzania wakienda wanapokelewa kiurafiki?

    Mchango wa Tanzania kwa mambo mbali mbali ya kimaendeleo kijamii ni mkubwa sana Afrika Na Tanzania ni nchi ambayo inawezekana inaongoza kuwapokea raia wa nchi nyingine za Afrika bila ya kuwafanyia Bugudha. Kwa wale wenye uzowefu wa kutembelea nchi nyingine za Afrika. Ni nchi gani Afrika ambako...
  20. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Kundi A: Mstari gani kwenye biblia unaweza kuipeleka Yanga robo fainali?

    Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia. Nayo inataka kuingia robo fainali. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…