gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani huwezi kukifanya kwa namna yoyote?

    Mi kuvaa sare za CCM au kuvaa manguo yenye picha ya Mama Abdul pia kubebeshwa bango lenye picha ya mama Abdul. Pia kushiriki kwenye mbio za mwenge. Bora waniue kuliko kifanya hayo. Wewe je?
  2. JamiiForums Tanzania Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

    Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala...
  3. JamiiForums Tanzania Story gani haiwezi kukosa hapa kwenye kijiwe hiki cha bodaboda?

    Twende kazi unahisi wanapiga story gani hapa?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya .tz na .co.tz domain?

    Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz .tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000! Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz? Nataka sajili domain naomba mawazo..
  5. JamiiForums Tanzania Ni members gani huwapendi humu JF?

    Kupenda, kuponda, hata kuchukia ni haki za mtu. Je ni members wapi unawakened au kuwaponda hapa jf na kwanini?
  6. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumuite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  8. JamiiForums Tanzania Kielimu, wife material aweje na atoke profession Gani!?

    Ova Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa utamkabithi yeye bila malipo anapiga kila siku asubuhi na jioni Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi...
  9. JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kukutana na Jenerali Mstaafu Salvatory Mabeyo, utamwambia neno gani?

    Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF. Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa alilolikabili na kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha msiba wa Magufuli. Ukikutana nae...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna 'Upuuzi' gani unaendelea Dar es Salaam leo?

    Mlioko Dar es Salaam hebu tafadhalini hebu mtujuze Sisi tulio mbali. Nasikia kuna Tukio la 'Kipuuzi' sana linaendelea huko.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nitumie njia gani kumsaidia Mtoto wangu ambaye ni mzito kidogo kuelewa Shuleni (Slow learner)?

    Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
  12. JamiiForums Tanzania Dada poa ni wahalifu? Na wanakamatwa kwa kosa gani ambalo linajulikana kisheria?

    Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka kujua hili swala kisheria likoje
  13. JamiiForums Tanzania Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  14. JamiiForums Tanzania Kila unapoiona defender ya polisi inakuja usawa wako unaanza kujiwazia hivi kuna issue gani labda umezingua😂

    Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
  15. JamiiForums Tanzania Ni sharti gani ambalo mganga alikupatia na ukashindwa au kukataa kuendelea nalo

    Karibu vijana wa jadi
  16. JamiiForums Tanzania Ukifiwa na mkeo unatakiwa ukae muda gani kabla ya kuoa tena?

    Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta. Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe Taifa linaweza fika hapa..huu ni Utajiri gani. Sembe!?

    Kwa hali hii.. 5 more years ahead.. Damn . We are Dead. Ana nini cha kulindwa hivi. Watanzania Amkeni .. Wake Upp!!
  18. JamiiForums Tanzania Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

    Uzi maalumu kwa wanywa cocktail na mocktail, karibuni tujumuike kujua nini unapenda zaidi na kwanini unakipenda hicho kinywaji!. Kwa ambao hawajaelewa Mocktail ni vinywa vinavyoandaliwa ila vinakuwa havina kilevi, cocktail ni inakilevi huo ndo utofauti kati ya cocktail na mocktail!. Binafsi...
  19. JamiiForums Tanzania Jimbo gani ligawanywe, kwanini?

    Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi. Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na...
  20. JamiiForums Tanzania Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…