gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya Gospel inakubariki zaidi?

    Baada ya ile ajali tuliopata siku kadhaa zilizopita hii ndiyo nyimbo inayonibariki zaidi, hakika Mungu ni mwema nitamshukuru siku zote👇👇
  2. JamiiForums Tanzania JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wazoefu wa ujenzi naombeni makadirio
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  5. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinasababisha wanaume kuwafanyia wanawake matukio ya kikatili?

    Habarini wadau, Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili. Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio. Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwengine tena ajiua Mbeya, kuna shida gani kwa vijana wa Mbeya ?

    Ughonile watu wa Mbeya, nipo Njombe (zamani ikiwa shemu ya Iringa) nimekuwa nikistuka kwa visa vya mara kwa mara kwa vijana wa Mbeya kujiua. Kunakoelea sio, ni muda wa kujadili shida ilipo ipate suluhisho. Mwezi uliopita dereva bajaji mkazi wa kata ya Iganzo, Jijini Mbeya alijinyonga majira ya...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Gharama kiasi Gani inaitajika kujenga frame ya mita za mraba 40 Kwa kutumia mbao laini.

    Habari wana JF Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar. Karibuni...
  8. JamiiForums Tanzania Wazee wa kuamsha popo, mpo kiwanja gani leo?

    Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo. Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye utafutaji, kwa sababu maisha ni haya haya. Bajeti yangu kwa leo ni finyu sana, kwa hiyo wale warembo...
  9. JamiiForums Tanzania Tabia gani uliyonayo ambayo hutamani watoto wako wairithi kutoka kwako?

    Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda. Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani nimmeze mzima mzima, Huwa namuomba Mungu wanangu wasirithi tabia hii, kwa sababu waswahili walisema hasira...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Godown langu jirani kaziba njia yakuingilia,je nilifanyie biashara Gani ya uzalishaji mdogo

    Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia Au nifungue kiwanda Gani kidogo
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ni situation gani ilikufanya utambue kuwa lazima utafute pesa hata iweje?

    Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule. Nikafika...
  12. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kwenda nje ya nchi, fani gani Zina market Sana??

    Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani

    Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani Maandiko Yanasemaje 1. Katika Wakolosai 3:20, maandiko yanasema: "Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana". 2. Lakini katika Luka 14:26, Yesu alisema: "Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

    Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea. Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
  15. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Taarifa zinaonesha umasikini wa bara la Afrika ulipaa zaidi wakati ambapo misaada ya wahisani ilikuwa juu zaidi

    == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;- Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo...
  16. JamiiForums Tanzania Jamani mziki wa club mshenzi unaweza kunigharimu kuanzia bei gani?

    Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu. Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
  17. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya malaya wa ngono na wa kiasiasa?

    Japo malaya ni malaya, je kuna tofauti kati ya malaya wa ngono na siasa? Malaya wa ngono husababisha umaskini na miwaya. Wa kisiasa nao pia husababisha umaskini na uchawa. Je kuna uhusiano au tofauti gani kati ya malaya hawa aina mbili?
  18. JamiiForums Tanzania Walemnaoguswa na maazi ya rais Trump njoo hapa useme wewe umeathirika namna gani?

    Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya hovyo kwakipindi hiki kifupi! Karibu!
  19. JamiiForums Tanzania Dawa/njia gani inatibu vipele vya ndevu vinavyosababishwa na kunyoa?

    Habarini wanajamvi! Naombeni msaada wa njia ama dawa inayoponya vipele vinavyotokana na kunyoa ndevu. Nimejaribu kubadili njia mbadala za kunyoa, kama vile mashine, magic, wembe nk, lakini hakuna iliyoniletea nafuu. Tafadhali nishaurini!
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Haji Manara anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato hapo Dar?

    Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa. Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo. Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…