gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  2. R

    JamiiForums Tanzania The Epstein Files: Elon Musk amemhusisha Trump na Epstein file. EPSTEIN FILES ni kitu gani?

    Trump na Elon sasa hawaivi, maadui kabisa! Epstein files ni kitu gani? zina nini ndani? Umuhimu wake ni nini? Nimejaribu kutafuta kwenye mitandao nikapata kitu kama hiki , na nikiri sikufanya undani sana maana ni kitu kinachohitaji muda mwingi kukitafuta kwa undani. Inawezekana nikawa...
  3. JamiiForums Tanzania Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi

    Bure kabisa fatilia hapa Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala Wasalaam Eng James 0743 257 669
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    Kama mada inavyojieleza Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
  5. JamiiForums Tanzania Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?

    SoMo hapo juu husika. Kuna hizi kada 1. Ualimu prim and secondary 2. Nurse and or Dr medicine 3. Police or Jw ? Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
  7. S

    JamiiForums Tanzania James Mbatia ahoji kulikuwa na haja gani ya kumfuata Askofu Gwajima kwa mitutu ya bunduki na Polisi?

    James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu. "Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

    Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside .... Habari zenu nyote?? Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ?? Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal...
  9. A

    JamiiForums Tanzania AINA GANI YA MAJIKO INA LOW COST OF OPERATIONS KWAAJILI YA KUPIKIA CHIPS NA SOURCE YA NISHATI INAPATIKANA KWA URAHISI (JIKO LA CHIPS)?

    AINA GANI YA MAJIKO INA LOW COST OF OPERATIONS KWAAJILI YA KUPIKIA CHIPS NA SOURCE YA NISHATI INAPATIKANA KWA URAHISI (JIKO LA CHIPS)? Ambazo azitoi moshi ni rafik kwa mazingira?
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA: Suala Siyo wingi wa watu bali wana hoja gani?

    Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo. Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria...
  11. JamiiForums Tanzania Wadau haya ni madini gani?

    Wajuzi wa madini,napenda kujua haya ni madini gani?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

    Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!! Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
  13. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kuwapigia kura wabunge ikiwa kila kitu katika Jimbo husika kafanya Mama?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wimbo huimbwao na Wabunge UBETI 🎼 🎶Mama hatukudai Mama huna deni Mama Mitano tena Shule ya Mama Vyoo vya Mama Maji ya mama Bodaboda wa Mama Ndizi za mama Matunda ya Mama Papuchi za Mama Mijurubenge ya mama Barabara za Mama Mimba za mama Mbususu za...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya La Liga kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation ya 4-4-2 DIAMOND 1. Casillas 2. Alves 3. Ramos 4. Pique 5. Marcelo .Alonso . Xavi . Modric . Iniesta . Messi . Ronaldo
  15. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani litatokea asubuhi Kanisani kwa Askofu Gwajima ?

    Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa. Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu" Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
  16. JamiiForums Tanzania Yezebeli alikuwa Mwanamke wa aina Gani? Mwisho wake ulikuwaje?

    Mnaojua tuelewesheni sisi maponjoro.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Just for curiosity, inafuata zamu ya kanisa gani kufungiwa?

    Katoliki wamekuwa vocal, though at a low profile. Lakini kitenda cha kumdhuru Fr. Kitima ni hatua moja kuelekea kulifungia Katoliki!
  18. JamiiForums Tanzania Vigezo vinavyotumiwa kupima uchumi wa nchi na kuona kama uchumi umekua au lah!

    Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2 1. Cech 2. Neville 3. Vidic 4. Terry 5. Cole 6. Scholes 7. Gerrard 8. Lampard 9.Rooney 10. Ronaldo 11. Henry
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…