gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya ushirika huwa wanalipa mshahara kiasi gani?

    Kuna chama kimoja cha ushirika mkoani mbeya nilifanya nao interview ya nafasi ya uhasibu.sasa katika interview waliniuliza mshahara ambao ningependa kulipwa,mimi nikawaambia uwe kati ya 1.7m-2.2m. Jana wamenipigia kuniambia kuwa nimepata ile nafasi na natakiwa kuanza kazi mara moja,nikamwambia...
  2. JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani ili nami niweze kushiriki vikao vya G7 huko duniani?

    Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
  3. JamiiForums Tanzania Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  4. JamiiForums Tanzania Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

    Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti. Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata picha gani Viongozi wa CHADEMA ambayo haitashiriki uchaguzi kukubalika kwa wananchi kuliko vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi

    Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma. CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

    Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani? Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa" Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali "Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako?

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako? Nikusaidie Napatikana: mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Piga: 0756704145
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mizimu ni vitu gani?

    Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
  12. JamiiForums Tanzania Unafikiri hii itakua Tanzania ya mwaka gani 😅👇

    Picha kwa hisani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Atakuwa Amesahau Eneo Gani?

  14. JamiiForums Tanzania Je ni kwa namna gani unatengeza furaha yako binafsi bila kutegemea mtu wala vitu?

    Habari wana JF, niliweka uzi hapa JF nikawa nimeelezea changamoto yangu kwenye mahusiano. Nashukuru mlinipa na mnaendelea kunipa maoni ambayo kimsingi yananijenga upya japo kuna jambo jipya limeibuka ndani mwangu nikutokana na maoni yenu lakini pia kuna uzi mwingine nilisoma nikakutana na...
  15. JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  16. JamiiForums Tanzania Ni mawaziri gani ambaye ugeshauri rais awatumbue?

    Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka? Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2

    Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2 CHEMISTRY.... C BIOLOGY.....C GEOGRAPHY...D MATH.....F Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika...
  18. JamiiForums Tanzania WanaCCM hebu semeni mnapingana na CHADEMA kwa kitu gani haswa?

    Katika vitu ambavyo sitaki kuamini ni kwamba CCM wote ni wabaya yaani sitaki kuamini kabisa. Sasa kama Imani yangu inaniambia Kuna watu wengine wazuri wako CCM Sasa hawa watu wengine wa CCM huwa wanawapinga CHADEMA kwa kitu gani haswa? Kwa sababu hoja nyingi zinazowasilishwa na watu wa CHADEMA...
  19. JamiiForums Tanzania Perfurmes gani nzuri kwa bei ya elfu10 hadi elfu30?

    Perfume gani za bei hizo za 'mtanzania' ambazo walau ni standard na bei wanayoimudu wengi?
  20. JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…