gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nahitaji kununua Samsung. Je, version gani ni current na ipo vizuri?

    Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai. Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia. Nawezaje kujua simu fake na Original?. Nina 550k
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  3. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Kesho nitatoa mfano wa jinsi gani ambavyo ingepaswa Gwajima ajibiwe

    Nimeona watu wakijibu hoja za Gwajima kwa mihemuko bila kuja na hoja kinzani ukilinganisha na Gwaji boy. Nahitaji maandalizi na sio kukurupuka, jamaa amepiga kwenye mshono, tukubali tusikubali.
  4. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Hivi mradi wa Babu wa Loliondo ulikuwa chini ya kiongozi gani ?

    Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu . Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake. Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye oral interview, ni viashiria gani vinaweza kukufanya ukajua kuwa hiyo kazi umeipata?

    Wakuu Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi? Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani. Wakt nimemaliza kufanya usaili kuna hr mmoja akawa ananisindikiza kutoka nje ya chumba cha usaili,nikamdodosa kwa kumuuliza...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  7. Dmkongola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi gani kijana unakuwa high value?

    Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie. Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men. High value man anakuwaje kulingana na watu, wanawake pia tuambieni mnapenda nn kwa wanaume?
  8. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania TV Gani ni nzuri asa hizi kampuni za kichina

    Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china. Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china? Ushauri tafadhari
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

    Nikiwa 'O' Level nazikumbuka chata hizi: 1. Remember Kidiru 2. Akajesus 3. Chid 'B' Chid Boy 4. Mwakubombaki 'wagambo wanaruka' 5. Simple 'F' 6. Watengwa 7. Remember Maguhu Jr. 8. Mseminari 9. Mzee wa zamu 10. T. T. Okocha 11. Second Master Kivuli 12. Jay 'S' wa Bongo 13. Lafayetta Clan 14...
  10. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU NAOMBA KUJUA AI GANI NZURI KWA KUTENGENEZA VIDEO?

    HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
  11. T

    JamiiForums Tanzania Njiwa kukaa juu ya bati usiku kuna maana gani

    Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukimuomba namba akawa anajishauri kukupa ina maana gani?

    Ee, nimempatia simu aandike namba yake, akaishia kushtuka shtuka tu, mara ang'ate vidole, mara aangalie chini kushoto. Nikamwambia acha kanjanja, chora namba kwa simu hapo. Mara ooh, mi siwezi, mara ooh huna nia nzuri na mimi, mara oh ya kazi gani Nikamwambia kama hutaki nipatie simu yangu...
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtatukuta kule una maana gani Dr stergomena tax.

    Hakuna mbunge wala waziri wa CCm ambaye hukasikia yupo na wananchi.wao ni kejeli na majigambo kama kikundi cha wenye kula keki ya taifa. Huyu naye anatumia VPN kupost alichokisema mtandao X
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

    Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine. Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix. Introvert hapendi sana kujulikana, n.k. anaweza kuwa tajiri ila anavaa simple, simu ya kawaida, n.k...
  16. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho Walimu wakajua tunamdekeza...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Hawa watu kwenye picha walioenda leo kujitambulisha kwa papa Leo 14 ni watu wa dini gani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Naomba kujua dini hizi ni dini za wapi? Mbona mpya machoni pangu Leo watu wa hizi dini walienda pamoja na viongozi wao kujitambulisha kwa papa Leo
  18. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye ndoa yenye watoto tu: Je mwanao alishawakuta kimakosa mkiwa faragha? Ulichukua hatua gani?

    Kwanza kataa ndoa nisiwaone huku, hii mada ni kwa wale tulowah kuishi maisha ya ndoa na familia yenye watoto. Je mwanao au wanao walishawakuta mpo faragha kimakosa? Je ulichukua hatua gani ili kuondoa mental au psychological damage kwa mtoto? Hii mara nyingi hutokea pale wazazi wakiwa na...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wadau Maumivu ya korodani yasiomaali ni ugonjwa gani?

    Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
Back
Top Bottom