gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Brand gani ya Tv unayo? Kwanini uliichagua hiyo?

    Salaam Members. Nipo mbali na home kwa sasa nikijaribu kutafuta grease ya maisha, sasa mimi hua siyo mtu wa kuingiliana na watu au kupiga story sana isipokuwa kupeana salamu inapobidi kwa mazingira fulani tu. Hivyo sasa kwa huku nilipo nimepanga ni-manipulate jambo fulani kwa ndani ya mwezi 1...
  2. Je, Unajua Kuna Aina Gani za Masoko ya Forex na Yapo Wapi?

    Watu wengi wamekuwa wakisikia kuhusu soko la Forex lakini wachache sana wanaelewa kuwa Forex si soko moja tu, bali ni mtandao mkubwa wa masoko yanayoendeshwa katika sehemu mbalimbali duniani. Hebu fikiria — kila kona ya dunia, kuanzia Sydney hadi New York, watu wanabadilishana fedha saa 24 bila...
  3. Ni jambo gani la aibu umewahi kulifanya bila watu kukushtukia?

    Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa wanatukana kuwa nani huyo asiye na adabu kajamba,mimi nikawa nimejikausha nazuga eti na mimi kufunika...
  4. Wadada wazuri mna shida gani lakini?

    Tajiri hasalimii. Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo. Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema. Hivi huwa mna nini...
  5. B

    Kuna madhara gani kutumia mafuta ya kupikia chakula yaliyoganda

    Je kwa mtu asiye fanya mazoezi kwa umri kuanzia 20+ mpaka 69 kuna madhara yapi yatatokea kwa kutumia mafuta yanayoganda? Wenye uzoefu karibuni kwa michango naambatanisha na picha moja
  6. Hizi Lamborghini Urus zinauzwa kama bei gani hivi?

    Maana kuna mwamba anavimba nayo mitaani sijui itakua bei gani? Kwa maana ata kikokotoo cha TRA hawajaweka, ila simple Google inatuambia new one kuanzia Billion
  7. Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌ Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
  8. K

    Je, uliyapokeaje matokeo yako ya mitihani?. Na je ni tukio gani la kimatokeo ambalo ukilikumbuka hukuacha hoi hadi leo!?

    Baada ya kuhitimu kidato cha nne ile miaka ya 2000s, nikitokea shule ya bweni, nilimtembea rafiki yangu ambaye tulipohitimu shule ya msingi, yeye alichaguliwa sekondari ya kutwa na mie walau vialama vyangu vilinifanya nipande basi la sumry, kwa mara kwanza na kutua ndani ya hii shule ambayo ni...
  9. Hivi vyama vya ushirika huwa wanalipa mshahara kiasi gani?

    Kuna chama kimoja cha ushirika mkoani mbeya nilifanya nao interview ya nafasi ya uhasibu.sasa katika interview waliniuliza mshahara ambao ningependa kulipwa,mimi nikawaambia uwe kati ya 1.7m-2.2m. Jana wamenipigia kuniambia kuwa nimepata ile nafasi na natakiwa kuanza kazi mara moja,nikamwambia...
  10. Nitumie njia gani ili nami niweze kushiriki vikao vya G7 huko duniani?

    Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
  11. Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  12. Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

    Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti. Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona...
  13. PreGE2025 Tunapata picha gani Viongozi wa CHADEMA ambayo haitashiriki uchaguzi kukubalika kwa wananchi kuliko vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi

    Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma. CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
  14. Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  15. B

    Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

    Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani? Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa" Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali "Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini...
  16. S

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako?

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako? Nikusaidie Napatikana: mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Piga: 0756704145
  17. Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  18. Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  19. S

    Mizimu ni vitu gani?

    Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
  20. Unafikiri hii itakua Tanzania ya mwaka gani 😅👇

    Picha kwa hisani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…