gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Project mbalimbali za kuibomoa CHADEMA zimefanikiwa kiasi gani?

    Mkakati au "project" mbalimbali za kisiasa zenye lengo la kuibomoa, kuidhoofisha au kuigawa CHADEMA zimefeli kwa kiasi kikubwa, kwani chama hicho bado kimesimama imara kama nguzo kuu ya upinzani hapa Tanganyika. Hata hivyo, mikakati hiyo imefanikiwa kwa kiasi kidogo kuongeza presha ya kisheria...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunda gani ulikuwa unalitamani kutokana na kusifiwa ila baada ya kulionja hulitaki tena?

    Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo. Nikawa natamani sana kulionja, ila siku niliyolionja nikasema chaaa nini hiki, sitaki hata kulisikia tena...
  4. JamiiForums Tanzania Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara. Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Ufundi Polisi kuna shida gani vyeti vya HGV havitoki tangu tusome mwezi wa 5

    Madereva tuli itikia wito wa serikali wa kututaka turudi darasani kupata elimu ya usalama bara barani lakini shida inakuja kwamba sisi tumesoma intake ya 9 kuanzia tar 18 mwezi wa tano mpaka leo hii hatujapata vyeti. Mabosi wamewapa magari yetu watu wengine, tuna familia, tunategemewa jamani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni mashirika gani ya Umma hayana tija yanafaa kufutwa

    1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for) 2. TTCL 3. .....endelea Na haya yalitoa gawio la Samia?
  8. JamiiForums Tanzania Mabaya haya yana faida gani?

    Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu
  9. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani kiofisi kipindi unakuwa ulijisemea hautakaa hufanye maana unazichukia au labda haziendani na hurka yako?

    LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
  10. JamiiForums Tanzania Ni obsession gani uliyonayo na inakusumbua sana, hauwezi ondoka akilinu labda uitulize kwa muda tu.

    OBSESSION ni hali ya akili ambapo wazo, mtu, au kitu hudhibiti kabisa mawazo yako. Unafikiria juu yake wakati wote, na huwezi kuacha, hata unapotaka kufanya mambo mengine.
  11. JamiiForums Tanzania Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

    Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea... Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini? Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za kufanya matani, au kejeli.. Binafsi na mimi bila kujua nimejikuta ni kiiadapt ili tu watu wafurahi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  13. JamiiForums Tanzania Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema elimu imeboreka tunaangalia vitu gani?

    Mara nyingi utasikia watu hasa viongozi wakisema elimu ya Tanzania imeboreka.Kipi kinaangaliwa?
  15. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Wakuu mambo ni aje. Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza.. Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili kila mmoja ana namna yake ya kuyabeba au kuyatolea maamuzi, hatuwezi kufanana. Binafsi kuna mke...
  16. JamiiForums Tanzania VIWANJA NI BEI GANI ?

    kuna mtu ZAMANI alikuwa na hela akafilisika.,sasa akanitafuta na kuuliza kama nataka kiwanja. Akaniambia niulize bei ni mwambie. Sasa kabla sijashika pesa siwezi kwenda kuangalia viwanja.. Kwa maeneo ya mbezi mpaka kibaha.naweza pata kiwanja kwa bei Gani.kisiwe bei sana. Huyu mtu namuona...
  17. JamiiForums Tanzania Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
  18. JamiiForums Tanzania Je, unayafahamu maneno haya? Ni lugha gani?

    Kinyengo Mafyulisi Mang'ang'a Matombolilo Posolo Katapera Nguniani Mapululilo Mkambokambo Mapohora Mang'ela Mabangayeye Migagi Vitindi/ kitindi Kipumilo
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujua Mussa alikua katili kwa kiasi gani Bonyeza HESABU 31;17-18

    Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka.. Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika.. Turudi...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Chadema hawataki Maridhiano CCM sii iliriadhane na Vyama 18 vilivyopo. Kuna haja gani ya kumsubiria "Mwenzao" waliyemfunga

    Nimemsikia samia akisema wanamsubiria mwenzao anatafakari mambo kadhaa. Na hawa wengine nmewaona wana furaha wakitabasamu kuwa pale. Sasa hawa si wapo tayari? Kuna Chauma, ACT, CUF,TLP,NLD,NCCR n.k kwa nini CCM na samia wasiamue tu kuridhiana na hawa mpaka wamsubirie Lissu? Je hawa wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…