gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Noah Voxy zina uimara kiasi gani?

    Vp salama wakuu. Kuna mtu flan anataka kuniuzia Voxy 2006 kwa 7mil, Me siyo mtaalam sana wa magari,so naomba wenye uelewa wanipe elimu kidogo kuhusu Voxy. Matumizi yangu ni kubeba abiria na njia ni rough road na mahali pengine ni lami. Sasa naomba kufahamu uimara wa hii gari na changamoto zake.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kilo 1 ya Nyama ya kuku Chotara au Kienyeji Buchani ni bei gani?

    Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei. Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  4. JamiiForums Tanzania Mnakuwa na maana gani mnaposema tusioe wanawake tunaowapenda

    Salaam. Bila kuwachosha Moja kati ya kauli ambazo Huwa nashindwa kuelewa ni pale naposikia mtu anasema kwamba usioe mwanamke unaempenda Maybe Kuna hoja ya msingi nyuma yake Swali linakuja nawezaje kuishi na mwanamke Ambae simpendi Wala kuwa na hisia nae Huwa mnalenga Nini mnaposema hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Sentensi ikianza na maneno gani unajua inafuata taarifa mbaya?

    Naanza mimi! Nikiskia "Basi aina ya COTECH lilikuwa limetoka mkoani......... najua hapa kishasanuka tayari
  6. JamiiForums Tanzania Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

    Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake. Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni.. Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ulijifanya mjuaji kwenye kitu gani ukaishia kugharamika zaidi kutatua tatizo la gari?

    Hapo zamani kidogo nilienda kuchaji betri ya gari, kesho yake narudi nalo sikutaka msaada wa fundi, nikaingia youtube nicheki wazungu wanafanyeje ku connect, Mambo ya DIY Do it yourself, kujifanyia mwenyewe nikiwa najipa moyo hakatwi mtu hapa, siwezi kutoa pesa kirahisi wakati nina bando na...
  8. JamiiForums Tanzania Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

    Wakuu Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa? Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuhama Dsm, nishauri niende Mkoa gani?

    Salaam wanajamvi, Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani? Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo, Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.
  10. JamiiForums Tanzania Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

    Tanzania ina makabila zaidi ya 120, Ni salamu ya kabila gani unayopenda zaidi? sio lazima kabila lako!!
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na sarafu yetu?

    Hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? Kwamba ndio tuanze kutumia mia tano kama sarafu ndogo kuliko? Na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? Wataalam naombeni mnifafanulie tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliaminishwa kabla ya kuanzisha biashara, ila ulipoingia uliona mafanikio au mauzauza

    Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  14. JamiiForums Tanzania Majirani zako ni watu wa namna gani?

    Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri. Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu. Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu. Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
  16. JamiiForums Tanzania Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

    Wakuu. Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika. Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri. Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa...
  17. JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania AI gani nzuri kutengeneza video na picture ?

    Habari ya mwaka mpya Naomba kujua AI gani nzuri kutengeneza video na picha zikawa km OG
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…