gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania What a blow! What a shame! Ni aibu gani hii..?

    It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata! Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu! Hasira za TK sijui ataangushiwa nani!?😭🤣😎.. Sikusikia wakiulizwa who are you? badala yake nilichokiona ni who are me? TK kawaweza halafu...
  2. JamiiForums Tanzania JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  3. JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  4. JamiiForums Tanzania Toka ulivyoanza kubeti Umepoteza kiasi Gani Cha fedha na umepata kiasi Gani mpaka sasa

    Leo baada ya kupunwa na khanji ka laki kangu na kale katimu nikaamua niingie tu site nijue nimeliwa shingapi na kula shingapi ili nifanye maamuzi Nimeanzia kubeti 2019 mpaka kufikia siku ya Leo nimepiga tasmini ya faida na hasara ya huu mchezo Hesabu niliyoipata lost tsh 1,353090/= milion...
  5. JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  6. JamiiForums Tanzania Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
  7. JamiiForums Tanzania Ni neno gani la Kiingereza linalokupa shida kulitaja?

    Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa usahihi? 😊 Mimi neno linalonipa shida ni “entrepreneur”.
  8. JamiiForums Tanzania Je ni kampuni gani bora za KUBET kwa sasa hapa Tanzania?

    Naomba wawekezaji wazoefu mnisaidie kampuni bora kwa sasa ya betting Tanzania. Uniambie na sababu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni kwamba, baada ya mauaji ya Oktoba 2025, hata muongee maneno mazuri kiasi gani, ICC ya The Hague inawasubiri!

    Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho. Anzeni kujipanga kwenda kwenye kesi, na hata kutangaziwa International Arrest Warrants. Ushahidi upo wa wazi...
  10. JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, ni kitu gani cha thamani umefanikiwa kununua mwaka huu?

    Twende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
  11. JamiiForums Tanzania Swali kwa Rais Samia: Matamko Gani ya TEC yalivuka ukuta wa kikatiba unaopaswa kutenganisha mambo ya kidini na mambo ya kisiasa?

    Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sijui nimepatwa na hali gani, kila mwezi nilikuwa nahesabu mzigo ila imepitai miezi 7 sijahesabu, nikitaka kuhesabu naahirisha au kupatwa na uchovu ?

    Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa. hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
  13. JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnataka siasa za aina gani?

    Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani? Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki? Hii inahusu zaidi chama...
  14. JamiiForums Tanzania Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

    Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii kabisa? Teremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
  15. JamiiForums Tanzania Hizi hela za zamani zina dili gani au ni ushirikina?

    Wenye ujuzi wa haya mambo tunaombeni elimu
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ushetani gani unapelekea wasanii kubadilika mfano Nickelodeon

    Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu. Kuna television inaitwa Nickelodeon na ndio channel ya watoto wanayopenda sana ambayo iliibua vipaji vya waigizaji watoto wengi. Ila...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemshitaki Padri Kitima kwenye ubalozi wa Vaticani anasaligi Parokia gani?

    Swali langu ni hilo tu tumjue huyu Lofa anasaligi parokia gani, tupate uhakika ni muumini mwenzetu au ni pandikizi?
  18. JamiiForums Tanzania Hatari, ni msada Gani anaosema Mange Kimambi kuwa unakuja?

    MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani. Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29. Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Bado siku chache sana tumalize mwaka, ni msemo gani uliokubamba mwaka huu 2025

    Wakuu, niko hapa nasoma comment, ni misemo gani au maneno gani yaliyotrend sana huu mwaka.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wasabato; Je, Wakristo waliouawa na kuteswa kikatili na dola ya Warumi karne ya 2, 3 na 4 walikuwa wa dhehebu gani?

    Habarini wapendwa wote. Moderator naomba sana uzi huu uwe huru tafadhali Ni swali la msingi la kuweka sawa kumbukumbu za kihistoria
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…