gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  2. JamiiForums Tanzania Nitumie dawa gani kutokomeza wadudu warukao na watambaao nisiwaone angalau kwa mwaka 1 ndani ya nyumba

    Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba. Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia. Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki. Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
  3. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulifanyiwa na mtu, kikundi cha watu au taasisi mpaka ukajiuliza hawa watu wananichukuliaje?

    Salaam wana JF, Dunia uwanja wa fujo na kila mtu anafujo zake, lakini kuna baadhi ya watu wanazidisha fujo na kuanza kuona wao ndiyo wanapaswa kuishi peke yao duniani. Hawa huwa wanajiribu kufikiri kuwa binadamu wengine walikuja duniani kwa bahati mbaya. Mtu au kundi kama hili hudiliki...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

    Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
  5. JamiiForums Tanzania Ni kituko gani cha bhangi uliwahi kufanya, hutokisahau?

    Ama kweli, Kwenye Maisha Hakuna Hali ya kudumu. "No condition is permanent". Kipindi naanza kuwa kijana nilipitia kuvuta bhangi, almost 34 years ago. Basi siku hiyo nilivuta bhangi magethoni kwa masela. Wakati narudi home nikahisi njaa Kali ndiyo nikanunua mandazi ya buku hivi nikanywee chai...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani inapata faida gani kugombanisha majirani?

    Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao. Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na...
  8. JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

    Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it. Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna...
  9. JamiiForums Tanzania Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

    Habarini wakuu, Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku...
  10. JamiiForums Tanzania Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

    Habarini wakuu, Nina swali zito naombeni majibu yake. Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116. Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116. Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara gani amepewa kibali kujenga kituo cha mafuta ndani ya stendi ya Msamvu?

    Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  13. JamiiForums Tanzania Wa sita huyu naye hajavaa kufuli. Ni utamaduni gani huu?

    Jana nlifanikiwa kupata appointment na demu mmoja wa mjini. Unajua midada ya mjini? Basi ndo huyu mmoja wapo. Tukawa mitaa flani Michael Chain (tamka Maikochein) tunapata machozi ya devil. Sasa tumekaa yupo mbele tunasubiri nyama choma huku anakunywa Heineken zake ameagiza 5 za kuanzia kwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kisa gani ulijifunza/ kuaminishwa shuleni/chuoni na ukaja kufahamu badae kwamba sio kweli?

    Katika michakato yetu ya kitaaluma kuna vitu huwa tunafundishwa au kuaminishwa ila badae tukitoka katika viunga baada ya muda mwingi kupita tunakuja kugundua sio kweli au haviwezekani au ilikuwa ni "fiksi" tuu. Kwamba tunatumia Ajebra kila siku katika maisha yetu ilikuwa fiksi. Kwamba...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

    Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu. Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana. Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kondomu gani nzuri kama 'Fiesta condom'?

    'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwahi kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yaani ni kama kavu. Sasa shida ni kuwa kwa sasa imekuwa imekua ngumu kidogo kupatikana, yaani nimeshaitafuta sana nimeikosa. Kondom zingine zinazopatikana kwa wingi nikitumia naona hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Askari Polisi gani mwenye nidhamu, utu na Weledi kama ACP Theopista Mallya?

    Askari Polisi gani mwenye utu na Weredi kama ACP Theopista Mallya? Shikamoo Afande ACP Theopista Mallya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, naamini ni moja ya toleo bora la Askari Polisi tunaojivunia. Aliwahi kuwa Msaidizi wa Mkuu wa Trafiki Tanzania Staff Officer Mnadhimu wa Polisi Makao Makuu...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

    Na baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi...
  19. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinaendelea Baa za Dar?

    Kama nilivyoanza hapo juu kuuliza kuna kitu gani kinaendelea ndani ya bar za Dar es Salaam. Mmimi sio mtu wa maji ila napenda kujichanganya na wana siku moja moja kutazama EPL na wana huku tukipata maji na kutoa lock si unajua bhana maji ya baba ni mazuri kwa afya ya kiumbe hai yoyote yule...
  20. JamiiForums Tanzania Mkidharauliwa na ndugu huwa mnachukua hatua gani?

    Morning wapendwa, Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…