gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

    Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili! Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi? Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha...
  2. M

    Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

    Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
  3. Msaada kasoma pcb kwa matokeo haya a Hague kozi gani

    Physics C Chemistry C Biology D BAM D USHAURI tu Mana naona kozi za afya ni ngumu kutoboa
  4. Ni kitu Gani kinasababisha magari kuwa na milio tofauti?

    Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin. Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
  5. Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    Habari wadau, Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB inahitaji mtaji wa Tsh ngapi Ili kuifanya biashara hii bila kutetereka? Na pia ni vitu gani muhimu vya...
  6. M

    Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
  7. Unatumia njia gani kumpata mshauri wa mambo unayopitia?

    Watu wengi huwa tunaomba ushauri kwa watu mbalimbali ili watusaidie pale tunapohitaji, lakini ikitokea tumegombana na wale waliotupa ushauri, tunazikuta siri zetu nje ya hapo. Sasa wewe unatumia njia gani kumpata mshauri anayefaa? Kuna baadhi huwa tunawachukua marafiki kama washauri ila kibaya...
  8. Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

    Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
  9. M

    Watu gani wanakuzunguka

    Wakati nikiwa darasa la saba tulikuwa na mtihani uliokuwa ukijumuisha shule zote za kata ulioitwa “KALABAZOLA”. Neno hili ni neno la Kisubi lenye maana halisi ya Kiswahili TUTAWAONA kwa sababu nilisoma kijijini sana hata lugha ya Kiswahili kwetu tuliiona kama lugha ya wageni kwa sababu hata...
  10. Hizi Gari 110 na Land Cruiser zenye Plate Number za herufi za UW ni za Taasisi gani?

    Halafu ni kwanini Madereva Wao na hata Watu wanaokuwemo Siti ya Mbele mara zote tu huwa ni Watu wa Kununa ( Usununu ) na hawana hata dalili za kutoa Tabasamu?
  11. Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

    Kwema wakuu, Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya. Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari? Yani hakuna...
  12. Mnatumia nyembe gani?

    Nina Uhakika Tanzania nzima hakuna mtu asiyetumia Nyembe kwa kazi tofauti tofauti mi Naulizia hasa kwa matumizi ya Kunyolea nywele zote zilizopo katika Mwili wa Mwanaadamu. Ni zipi Nyembe bora maana siku Hizi Kampuni nyingi huku Uswahilini Kuna DORO lakini naona kama sizielewi siku hizi.
  13. S

    Hiki kilichowekwa ktk barabara za miji midogo ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
  14. S

    Hizi zilizowekwa katika barabara za miji ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au Kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
  15. M

    Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

    Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka...
  16. B

    Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

    Wakuu habari. Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri Nawasilisha
  17. Kitu gani kinakufanya upate Maudhi / Ukasirike au Ukereke

    Habar Wana Jf. Wakulungwa kuna kitu Nataka kushare na nyinyi ambacho huwa hatuwezi kukiepuka maadam tunaishi na wanadamu wenzetu,nacho si kingine bali kukasirishwa,kukerwa na kupata Mauzi. Kama hatujakerwa makazini basi tutakerwa majumbani,kama sio nyumbani basi sokoni na sehemu yoyote ile...
  18. Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

    Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop. Tunawezaje kutatua hili tatizo?
  19. Kwa ufaulu huu Engineering atapata? Na je aombe kozi gani?

    wadau ushauri kwa mpwa wangu please G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
  20. Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

    Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani General study E History E Geography E English D Ana dv 3 ya 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…