Kitu gani kinakufanya upate Maudhi / Ukasirike au Ukereke

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,308
Reaction score
29,193
Habar Wana Jf.

Wakulungwa kuna kitu Nataka kushare na nyinyi ambacho huwa hatuwezi kukiepuka maadam tunaishi na wanadamu wenzetu,nacho si kingine bali kukasirishwa,kukerwa na kupata Mauzi.

Kama hatujakerwa makazini basi tutakerwa majumbani,kama sio nyumbani basi sokoni na sehemu yoyote ile ambayo ina miingiliano na watu,na hata humu Jf huwa tunakerwa na baadhi yetu ima kwa makusudi au Kwa bahati mbaya.

Cha muhimu kujua kinachotukera au kutupa hasira si maneno ya watu Bali ni Ile tafsiri ambayo Sisi huamua kuichukua ndio ambayo inatuumiza,lkn maneno kama maneno huwa hayana madhara Bali huelewa wako au kile unacho kitafsiri ndio huwa sumu.

Lau kama ukijifunza kudharau mambo na kuyachukulia poa,basi utakuwa ni mtu mwenye Amani Sana hapa duniani,ndio maana kuna watu unaweza kuwa kuta wameambiwa kauli mbaya lkn wasipaniki kwakuwa wanajua namna ya kuyachukulia mambo.

Mfano mdada umeambiwa we ni Malaya, je we ni Malaya kweli? Kama wewe sio Malaya sasa kuna haja gani ya kukasirika na kupaniki kihivyo,cha msingi ni kujadiliana na huyo aliye kwambia wewe ni Malaya na umtake adhibitishe Hilo,Ila ukipaniki basi huenda mbele ya macho ya watu waeza onekana kweli wewe ni Malaya.

Umeambiwa wewe huna akili au limbukeni,je kweli wewe upo hivyo,kama haupo hivyo kwanini Ukasirike? Kama unaijua thamani yako vitu kama hivi haviwezi kuku shughulisha kabisa.

Kwa lolote unalokutana nalo katika mizunguko yako ya kila siku lipe tafsiri nzuri,Kwa kufanya hivyo Kwanza utaifanya siku yako iwe nzuri na utamshangaza Yule ambaye Nia yake ilikuwa akufanye ujisikie vibaya,mfano mdogo ni hivi mtu anapokutania na ukikasirika bila Shaka kesho atendelea kukutania tena,kwasababu dhamira yake ni wewe ujisikie vibaya ndio furaha yake,lkn vipi akakutania ama ukacheka au ukampuuza je unafikir kesho atakutania tena? Ni kwamba hawezi kwasababu maneno yake hayana nguvu tena kwako ya kukuathiri.

Haya ni mambo ambayo haya kwepeki katika Maisha yetu maadamu tu tunaishi na watu,Ila tunachoweza kufanya ni namna gani tutafsiri hayo mambo au tutayapokea vipi ndio namna pekee itakayo tufanya tuwe na amani na kuepuka mihemko isiyo kuwa na sababu.

Ni hayo Tu.
 
THANKS KWA BANDIKO, Nimejifunza kitu

Wananikera watu ambao unawaambia acha kitu fulani anakirudia tena na tena, mbaya zaidi sio mtoto
Kweli kabisa mkuu, ukireact negatively ndio unampa nguvu ya kuzidi kukushambulia lkn ukimchukulia poa umemuondolea makali
 
Uzi mzuri, mimj nachukia na kukerekwa sana ninapoweka kitu mahali fulani na mtu aje akihamamishe.
Nakerwa na tabia ya mtu kua mchafu au kupenda uchafu na nadhan haya kwangu ni maradhi maana mtu mwingine anaweza asione huo ni uchafu lkn kwangu ukawa ni uchafu ambao unanifanya nishindwe kua na subra au akili kuvurugika. Na hii nadhan nimerithi kwa bibi alieniliea alikua hapendi uchafu kupitiliza kwa umri ule wa utoto tulikua tukiona karaa kukaa nae maana mda mwingi nawa mikono, suuza miguu uingie ndani, futa hapa kwa maji ya moto nk sasa hii imekuja kwangu mara mbili yake kiasi kwamba hata kukaa kwangu na mtu wa ziada napata tabu sababu nitamsikia ana harufu ambayo wengine hawatosikia, basi najikuta namuona karaha mapema
 
Cha kwanza kufanya kazi na wanawake sipendi Nina experience nilifanya kazi na section yangu ilikuwa na wanawake wawili na mmi watatu mmoja alikuwa kama msaidizi sasa bhana kazi pale ni ngumu huyu mwingine ana watoto watatu basi haipiti wiki lazima aombe ruhusu kama haumwi yeye basi wanae mahudhurio mabovu ila akisikia Kuna safari utamuona yupo kazini

Uchafu sipendi mtu ananuka kama mbuzi huwaga japo sipend kufautilia mtu ili ukinipita haswa sehemu kama za kazini unanuka ovyo sipendi.

Sipendi mambo ya kufuatilia wala kufuatiliwa na mtu mara unakuta jitu lina kuuliza utaoa lin wewe uko na mipango yako mara kwa nn hununui gari
 
Kwanza nampa kongole Bibi yako aliwafundisha Jambo zuri Sana,hongera kwake.

Sasa unachotakiwa kujua au uanze kukiweka akilini mwako ni kubadilisha Mtazamo wako juu ya watu wengine, ujue kwamba wako tofauti na wewe na hawezi kuwa wewe hata mara moja,ingawa sometime ungependa wawe wasafi kama wewe lkn haiwezekani,kwahiyo Anza kujifunza kuwachukulia kama walivyo kwasababu hauna uwezo wa kuwabadilisha,pale inapowezekana kuwahimiza wawe wasafi ni vizur lkn ikishindikana basi huo ndio udhaifu wao, ukiwaza hivyo utapata ahueni kidogo
 
Sasa unachotakiwa kujua au uanze kukiweka akilini mwako ni kubadilisha Mtazamo wako juu ya watu wengine, ujue kwamba wako tofauti na wewe na hawezi kuwa wewe hata mara moja,ingawa sometime ungependa wawe wasafi kama wewe lkn haiwezekani,kwahiyo Anza kujifunza kuwachukulia kama walivyo kwasababu hauna uwezo wa kuwabadilisha,pale inapowezekana kuwahimiza wawe wasafi ni vizur lkn ikishindikana basi huo ndio udhaifu wao, ukiwaza hivyo utapata ahueni kido

Ningependa kuchangia hapo kwenye utaoa lini na kwanini hununui gari.

Hizo ni Tabia ambazo zinakera Sana,na ni za watu ambao wanapenda kufuatilia mambo ya watu,hawajui kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake katika Maisha, ni kuwachukulia poa Tu mkuu maana watu kama hao wapo wengi sana
 
M

Mume wangu alijaribu ninasihi sana kuhusu hili lkn inafika sehemu nashindwa kujizuia na hii huniathiri maana hata wadada wa kazi siwez kaa nao mda mrefu either anichoke au nimchoke mimi hasa kumwambia rudia kusha vyombo maana najikuta nasikia vina harufu, kumfanya aoge kila mara na kumfokea muda mwingi akiwa hatimizi ninachokitaka. Yan mwanangu wa miaka sita akikaa akicheza hawez kuja kunisogelea lazima akajimwagie maji kwanza . kwangu haya ni maradhi.
Pia namshukur Mungu kwa ajili ya mume wangu maana mwanzo hata yeye alikua akiniona karaha mda wote akiwa na mimj akaoge , apige mswaki mara kwa mara mpk naye ameshaadopt mengi kutoka kwangu japo mwanzo aliniona karaha
 
We acha tu mtu uko bussy Tena anakuuliza kwa nguvu ili kila mtu asikie dunia bhana mi binafsi ofisini Nina watu wa karibu hawazidi watatu wanapenda kujua mtu unakaa wapu sijui ili iweje
 
M
Mume wangu alijaribu ninasihi sana kuhusu hili lkn inafika sehemu nashindwa kujizuia na hii huniathiri maana hata wadada wa kazi siwez kaa nao mda mrefu either anichoke au nimchoke mimi hasa kumwambia rudia kusha vyombo maana najikuta nasikia vina harufu, kumfanya aoge kila mara na kumfokea muda mwingi akiwa hatimizi ninachokitaka. Yan mwanangu wa miaka sita akikaa akicheza hawez kuja kunisogelea lazima akajimwagie maji kwanza . kwangu haya ni maradhi.
Pia namshukur Mungu kwa ajili ya mume wangu maana mwanzo hata yeye alikua akiniona karaha mda wote akiwa na mimj akaoge , apige mswaki mara kwa mara mpk naye ameshaadopt mengi kutoka kwangu japo mwanzo aliniona karaha
Naomba niseme kuna watu wasafi lkn naona kwako ni too much, kweli Kwa mazingira hayo lazima wadada wakukimbie kwakweli,Ila kubwa ni mumeo kukubaliana na hiyo Hali.

Naweza sema kwako hayo ni maradhi sasa maana naona imepitiliza,naamini uliathirika kisaikolojia kipindi ambacho upo na Bibi yako,Ila UZURI WA haya maradhi ya kisaikolojia yanaisha mara unapoanza kubadilisha Mtazamo wako juu ya Hilo ambalo umeathirika nalo.

Naomba ujue Hilo ni tatizo na unatakiwa ulifanyie kazi la sivyo utakosa msaada Kwa wasaidizi kama hao Madada WA kazi,ebu Anza kidogo kidogo kutofuatilia Sana Kwa undani baadhi ya mambo,mfano kama vyombo vimeoshwa basi usitake kuvinusa,kwakuwa ukifanya hivyo utasikia harufu kwakuwa umeshakuwa sensitive na hiyo tabia, Hali kadhalika kama mdada kaoga basi usimfuatlie Sana Kwa karibu kwakuwa ukimfuatilia lazima utasikia ananuka jasho,kumbe wakati mwingine wala hanuki jasho kivile lkn bahati mbaya akili yako inalipokea hivyo
 
Nafahamu fika kua haya ni maradhi, shukran nitajitahidi kadri niwezavyo
 
nipo kwenye nyumba moja nimehamia kuna mama mmoja ana sura inatisha balaa...kutwa kunipakazia maneno mara leo nimelala na beki tatu wa jirani, mara ameona naingiza mwanamke usiku..dah..🤔🤔
 
Habar Wana Jf.

Wakulungwa kuna kitu Nataka kushare na nyinyi ambacho huwa hatuwezi kukiepuka maadam tunaishi na wanadamu wenzetu,nacho si kingine bali kukasirishwa,kukerwa na kupata Mauzi.

Kama hatujakerwa makazini basi tutakerwa majumbani,kama sio nyumbani basi sokoni na sehemu yoyote ile ambayo ina miingiliano na watu,na hata humu Jf huwa tunakerwa na baadhi yetu ima kwa makusudi au Kwa bahati mbaya.

Cha muhimu kujua kinachotukera au kutupa hasira si maneno ya watu Bali ni Ile tafsiri ambayo Sisi huamua kuichukua ndio ambayo inatuumiza,lkn maneno kama maneno huwa hayana madhara Bali huelewa wako au kile unacho kitafsiri ndio huwa sumu.

Lau kama ukijifunza kudharau mambo na kuyachukulia poa,basi utakuwa ni mtu mwenye Amani Sana hapa duniani,ndio maana kuna watu unaweza kuwa kuta wameambiwa kauli mbaya lkn wasipaniki kwakuwa wanajua namna ya kuyachukulia mambo.

Mfano mdada umeambiwa we ni Malaya, je we ni Malaya kweli? Kama wewe sio Malaya sasa kuna haja gani ya kukasirika na kupaniki kihivyo,cha msingi ni kujadiliana na huyo aliye kwambia wewe ni Malaya na umtake adhibitishe Hilo,Ila ukipaniki basi huenda mbele ya macho ya watu waeza onekana kweli wewe ni Malaya.

Umeambiwa wewe huna akili au limbukeni,je kweli wewe upo hivyo,kama haupo hivyo kwanini Ukasirike? Kama unaijua thamani yako vitu kama hivi haviwezi kuku shughulisha kabisa.

Kwa LOLOTE unalo kutana nalo katika mizunguko yako ya kila siku lipe tafsiri nzuri,Kwa kufanya hivyo Kwanza utaifanya siku yako iwe nzuri na utamshangaza Yule ambaye Nia yake ilikuwa akufanye ujisikie vibaya,mfano mdogo ni hivi mtu anapokutania na ukikasirika bila Shaka kesho atendelea kukutania tena,kwasababu dhamira yake ni wewe ujisikie vibaya ndio furaha yake,lkn vipi akakutania ama ukacheka au ukampuuza je unafikir kesho atakutania tena? Ni kwamba hawezi kwasababu maneno yake hayana nguvu tena kwako ya kukuathiri.

Haya ni mambo ambayo haya kwepeki katika Maisha yetu maadamu tu tunaishi na watu,Ila tunachoweza kufanya ni namna gani tutafsiri hayo mambo au tutayapokea vipi ndio namna pekee itakayo tufanya tuwe na amani na kuepuka mihemko isiyo kuwa na sababu.

Ni hayo Tu.
Mauzi ya kushonea nguo, Afrika Kusini utawafundisha mauzi badala ya maudhi, jifunze kukaza ulimi.
 
nipo kwenye nyumba moja nimehamia kuna mama mmoja ana sura inatisha balaa...kutwa kunipakazia maneno mara leo nimelala na beki tatu wa jirani, mara ameona naingiza mwanamke usiku..dah..[emoji848][emoji848]
[emoji23]
 
Back
Top Bottom