gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  2. JamiiForums Tanzania Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza?

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza? 🧠🧠🧠
  3. JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata ili kuanzisha nchi?

    Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria Nawasilisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Vodacom kuna tatizo gani?

    Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni ishaanza wizi hii
  6. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  7. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

    Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo...
  9. JamiiForums Tanzania Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo. Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo. Kuna zile naskia...
  11. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinamsisimua mwanamke

    Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana… “Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?” Nilidhani wangesema: Misuli ya tumbo. Pesa. Au ubabe wa mwanaume. Lakini majibu yao lilinishangaza. Karibu wote walisema kitu kimoja… Sio kile mwanaume anachofanya. Ni kile...
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

    Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, hili linaweza kuwa tatizo gani la saikolojia?

    Hivi ili linaweza kuwa tatizo gani la saikolojia? Mtu kuwa uuongo sana yaani anadanganya kupitia kiasi. Kushindwa kujitambua ( yaani kuwa mtu ambaye anashindwa kudadavua mambo yake mwenyewe au kujisimamia ) Kuwa mtu mwenye wivu wa kupita kiasi, Mchonganishi, Mpenda sifa sana na kuongea kupita...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  15. JamiiForums Tanzania Haya maneno yapo kwenye nyimbo nyingi je yana maana gani?

    Kwenye nyimbo za kizungu, kibongo,nk. Je? Yana maana gani? Na chimbuko lake ni wapi?
  16. JamiiForums Tanzania Je, MALAIKA anaweza kuwa Mungu kwa mujibu wa Civilian Coin au kiumbe gani kiwe Mungu

    Nimepitia kipeperushi Cha Bw. Civilian Coin-mtoto wa Kisandu Kama anavyojiita yeye anathibitisha kuwa Malaika ndio Mungu.
  17. JamiiForums Tanzania Njia au mbinu Gani salama kuepuka ushawishi wa mahusiano kazini?

    Let's be short and clear... Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini? Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi? Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
  18. M

    JamiiForums Tanzania kuna utofauti gani wa kuwa "SIMP" na kuwa gentleman unaejali na kuwa romantic ?

    Uwanja wa maoni upo wazi
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
  20. JamiiForums Tanzania Application ya Jf inashida gani?

    Hii app ya Jf inatatizo gani wakuu Mbona haitaki kufunguka kiasi cha sisi watumia app kuhisi kuwa Jf haipo tena kumbe ipo huku kwenye website
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…