gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

    Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada? Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu...
  2. JamiiForums Tanzania Starehe gani unaifanya ukiwa peke yako na unaifurahia?

    Starehe gani unaifanya ukiwa peke yako na unaifurahia?✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
  3. JamiiForums Tanzania Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

    Wakuu, nijibuni haya maswali:- Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni? Na kwanini unavaa hayo mavazi?
  4. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kokoto zinafanya kazi gani kwenye reli?

    Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kuna siri gani kwenye ugoro wazee?

    Wadau za kutwaa!!! Jana katika pita pita Kwa wadau wangu kadhaa wakongwe mujini nikawachana kuwa wadauee "eeee" Leo kijana wenu Dina hela hata ya kipiga masta hebu nitoeni basi mdogo wenu nikazibue kichwa hata na tingisha mbili tu. Ndiyo lijendi mmoja akafungua kanailoni flani kabluu nikaona...
  7. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Moja ya vitu vigumu kuvielezea mbele za watu ni hisia za upendo. Hata ukimuuliza mtu aliyeoa/kuolewa, sababu iliyomfanya kumpenda mwenza wake, majibu mengi yatakuwa ni kwasababu ni mcha Mungu, ana heshima, yuko smart sana. Lakini mtaani wenye sifa hizo wapo wengi, swali gumu kuelezea linabaki...
  8. JamiiForums Tanzania Sehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza stress za mapenzi?

    Mambo, Nisehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza mawazo jamani? Una amka vizuri lakini mapenzi yana kuvuluga, khaa!
  9. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

  10. JamiiForums Tanzania Mambo gani ulidanganywa kuhusu watu wazima na umegundua ni uongo?

    Tunapokuwa wadogo kuna mambo mengi tunadanganywa na kuamini kuhusu watu wazima. Lakini miaka inavyoenda tunagundua uongo mwingi sana. Uliamini nini na ukashangaa hakuna ukweli wowote. 1. Niamini watu wazima hawapendi wali. Si kwel hata kidogo. Wanapenda wali kuliko hata watoto. Kama uamini pika...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl. Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
  12. JamiiForums Tanzania Nauliza tu, Profesa Nabi yuko wapi? Au ana tatizo gani?

    Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu. Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi. Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara gani inalipa kwa huu mwaka 2023?

    Leteni idea, mimi naona biashara ya mazao inalipa. Vipi mnaonaje?
  14. JamiiForums Tanzania Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

    Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
  16. JamiiForums Tanzania Mama akipiga utrasound ni majibu gani anatakiwa aambiwe?

    Wajuzi wa mambo naombeni majibu, Umri wa mtoto, jinsia au?
  17. JamiiForums Tanzania Tunahitaji elimu ya aina gani kwa karne hii tuliyopo?

    Ni kwa muda mrefu sasa tumekuwa katika aina na mfumo ule ule wa elimu na mrejesho katika matokeo yake umekuwa mdogo sana.je tunahitaji kubadili nini na tunahitaji aina gani ya mifumo ya elimu itakayotuletea mabadiliko ya kweli? Tupo katika karne nyingine kabisa na kizazi tofauti kabisa, je elimu...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

    Kwenye harakati za maisha unaweza kwenda kwa mtu,mshikaji au ndugu yako ukakutana na vitu ukajiuliza vimefikaje pale ukakosa majibu. Mimi nna visa kadhaa ambavyo nilivikuta kwa washikaji zangu kwenye magheto yao huwa najiuliza sana nakosa majibu hadi leo..nabaki kucheka tu kila nikikumbuka. 1...
  19. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Ijumaa kuu, unafahamu vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?

    Waislamu tukae pembeni kidogo Leo ni siku ya Ijumaa kuu, tukumbushane vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?
  20. JamiiForums Tanzania hii ndoto inamaana gani? kitu ambacho ni sahihi naambiwa sio sahihi

    kwanza kabisa mtanisamehe kwa kuwasumbua kila wakati kwa kuja hapa kuhitaji msaada wenu lakini nashukuru kwa majibu yenu mazuri ambayo wakati mwingine yananifanya kuwa makini na mambo yajayo, ipo hivi kwanza kabisa mazingira ya hii ndoto na watu wote waliokuwepo nawafahamu ni huko kijijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…