gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kudai Boss alipe Mishahara

    Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu. Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine nao wakifanya anawadhurumu . Trend huwa ipo ivyo Leo tumekaa kupanga jinsi gani Tu deal na BOSS ila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

    Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi. Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiwa unafikiria akili ya kibinadamu inafikia mwisho kabisa. Je, huwa unatumia njia gani kupata majibu sahihi kwa jambo linalokutatiza?

    .
  4. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ilipigwa mwaka 2012 nchini Korea Kaskazini

  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi kwenye starehe?

    Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia pesa, ukistuka kibinda kimeenda kikubwa kiasi unataka kuumia roho ila unatafuta kamsemo ka kujifariji...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi Kainerugaba anacheza game gani? Au ni ujinga wa kuzidi tu?

    Huyu jamaa maneno anayotoa kwa umma ni kuna game au hila anachezea watu au ni ujinga umemzidi na Schizo kabisa?
  7. JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?

    Habari I??? Kichwa Cha habari kisemavyo.Je ulitumia dawa gani kupona fangasi za kwenye korodani?
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani na unatibiwa vipi/na dawa gani?

    Habari za muda huu madaktari.... Nina ng'ombe 2 zinaumwa, ila sijui nini tatizo. Wa kwanza jike. Dalili alizonazo ni kutoshiba vizuri(tumbo halijai), ila anakula kuanzia asubuhi(saa 3 au saa 4) mpaka jioni. Na pia, akiwa porini anapenda kulala au kusimama sehemu kwa muda mrefu(nikama...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu gani wa kufungua biashara ndogo-ndogo chini ya 5M?

    Ndugu zangu habarini za wakati huu. Naomba mwenye kujua taratibu za kufungua biashara yoyote ndogo-ndogo anifahamishe hataua kwa hafua kwa mjibu wa sheria.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete: Majaliwa hakutimiza ahadi ya kujenga barabara ya lami, Serikali ina mpango gani?

    Salma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5? Serikali: Kwanza...
  11. JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kina faida na hasara zake. Je, kuna faida gani za kuwa masikini?

    Kama kila kitu kina faida na hasara zake je, kuna faida gani za kuwa maskini?
  12. JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana elimu gani?

    Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

    Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa ajiri ya mapambo na kula tu nje na kuku wengine. Kwani Hawa kuku nilichongundua wanauzito sana. Pia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Dully Sykes alikuwa mtu wa Misifa au aliitwa Misifa kama jina la ziada?

  17. JamiiForums Tanzania Naskia Songwe wadau wanapoteza sehemu za Siri kwa kuguswa bega. Wadau wa Songwe Kuna ukweli gani?

    https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega baada ya hapo sehemu zako za siri zinapotea. Wadau wanaamini wanajikinga kwa kuvàa rubber band na pin...
  18. JamiiForums Tanzania Prophet IPM anahubiri injili gani?

    Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka 1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi 2. Kupotosha uhalisia katika ndoa. Kwamba ndoa...
  19. O

    JamiiForums Tanzania KWA ALIYEFANIKIWA KULIPIA GOOGLE PLAY CONSOLE ULITUMIA BANK GANI NA IMEWEZESHWAJE?

    Naomba kujua hilo kadi ZOTE za virtual prepaid hadi bank ya nmb zimeshindwa Kwa kadi za virtual aka prepaid zimeinyesha wazi kukataliwa Sasa nilivyokuja Kwa bank nmb imegoma hii hapa chini ni acnap ya nmb Kwa google apesa ipo kama 150k na nataka kulia USD 25 tatizo nini? Nmb imewezeshwa ila...
  20. JamiiForums Tanzania Pasi hii umedumu nayo kwa muda gani?

    Kuna pasi alafu kuna hii pasi Ya kwako imedumu kwa muda gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…