game

  1. FK21

    JamiiForums Tanzania Aliyetunga Squid Game series ni mwehu kila alieshiriki iyo TV show amechezewa mchezo hadi ukiitazama tu ushachezwa mchezo

    Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata UKIITAZAMA TU umechezewa mchezo pia Ukimuhadisia mtu ndiyo kabisa utaona tu unahadisia ujinga kila tukio...
  2. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kuahidi hizi teams pesa kunasababisha wapoteze attention. Hii game Singida walikamia sana wakaacha kucheza mpira

    Nadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa. Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game...
  3. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wakishua wenye Netflix: Squid Game Season 2 itakua premiered leo Tar 26 Dec!

    The 2nd season is here. Let's play!
  5. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Squid game Season 2 ni leo

    Moja ya series kali sana. Saa 5 kamili itakuwepo Netflix. Wanasema haitapatikana kwenye platform zingine isipokuwa Netflix.
  6. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kuangalia Series ya Breaking Bad na Game of Throne, naombeni nyingine kama hio

    Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute. Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series. Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad. Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni, Natanguliza shukrani
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Aviator ni utapeli, wacheza kamari shitukeni

    Leo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀. Leo nimetegeshea sh 100 nitaweka kwenye kitufe cha autobet Na kitufe cha autocash, cha ajabu kile kindege...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mawazo gani yalikupitia kichwani baada ya kumaliza "game" na huyo demu?

    Wazungu wanaita hii hali "post nut clarity" yaani fahamu kukurudia baada ya hamu yako ya kujamiiana kufunga Kama ulikuwa huoni hilo komwe la huyo mwanamke hapa sasa ndio utaona, kama ulikuwa hujaona vizuri kwamba ni lishangazi basi hapa ndio utaona, kama mliokotana Tandale kwa mfuga mbwa na...
  9. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga kadaini fedha zenu kwa Mganga aliyewaaminisha Dube atafunga game ya jana

    Ali kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana) rasmi ataanza kufunga na wanamkabidhi mechi na ukisikia kukabidhiwa mechi ni zile takataka zote za kichawi hukabidhiwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini game ya Yanga imeahirishwa lakini ya Simba haikuahirishwa?

    Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo?? Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu. Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga. Pia Yanga...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya game wanazocheza watoto kwenye simu zinawawezesha kuwasiliana na watu wasiowajua. Unajua anaongea na nani?

    Wakuu salam, Wakati tunaongea mambo mengine tukumbushane mara moja upande wa malezi ya watoto hasa kipindi hiki ambako digitali inaenda kasi. Watoto wengi wakati huu wapo exposed kwenye ulimwengu wa digitali kupitia TV, simu, laptops, magemu nk. Leo tuongelee upande huu wa games, ambayo yapo...
  12. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Je, The game of Thrones inafichua ukweli kuhusu flat Earth na Mambo yaliyofichwa?

    Habari za Sasa hivi wakuu? Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu. ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game...
  13. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Jay Moe Hili game

    Wakuu msaada mwenye ngoma ya jay moe Hili.game remix tafadhali.naiomba hapa. Mara nyingi nayoipata haipo fresh ipo sauti ya chini sana alafu biti haikimbizi vzr. Msaada jamani nayoipata ni hiyo chini hapo
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Netflix Squid Game Season 2: You’re invited, Dec 26

    Naona baada ya mafanikio makubwa ya Season 1, wanarudi tena. Dec 26 ndio episode 1 itaanza na kutakua na jumla ya episode 10. BTW ni miaka mitatu tokea Season 1 itoke. Tunazeeka aisee.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nawafafanulia vipi wanaodhani Iran na vikundi vyake wanashinda vita wakati Israel inanyakua vichwa vingi vya viongozi wa juu?

    Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno. Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Refa uliyechezesha game yetu Simba jana, hatukudai

    1. Ulikuwa upande wetu mwanzo mwisho 2. Ukazui tusifungwe la tatu 3. Maelekezo uliyopewa uliyatekeleza ipasavyo.
  17. D

    JamiiForums Tanzania leo kuna game ya community shield simba na yanga princess, VAR ya KARIA iko wapi??

    I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu. nothing to show for it. karia should change or leave.
  18. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hii game ya Bayern Munich na Leverkusen iko moto sana

    Binafsi napenda Bayern ashinde ila hadi Sasa kapigwa Moja
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Harmonize kapotea kwenye game sasa hivi

    Hivi harmonize ni kama game limemshinda kabisa hakuna wimbo wake unao hit sana ni kama mziki umemshinda show now anapiga za humu humu ndani njee, sio kama zaman au jamaa. Ndio kafirisika.
  20. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndio Sasa Tunaweza Kuvaa Teknolojia: Vifaa vya Wearables Vinavyotawala Dunia

    Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
Back
Top Bottom