Kuna jambo la kujifunza hapa kwa timu zetu za ndani: mamlaka ya yakishaamua jambo, hata kama una ukakasi nalo - weka hisia pembeni, tii mamlaka.
Naamini kabisa uongozi wa simba walijua kabisa ni ngumu/haiwezekani CAF kubadilisha maamuzi ila waliamua kuingiza chaka mashabiki zao kwa kufanya...