Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Kuna jambo la kujifunza hapa kwa timu zetu za ndani: mamlaka ya yakishaamua jambo, hata kama una ukakasi nalo - weka hisia pembeni, tii mamlaka.
Naamini kabisa uongozi wa simba walijua kabisa ni ngumu/haiwezekani CAF kubadilisha maamuzi ila waliamua kuingiza chaka mashabiki zao kwa kufanya mazoea.
Na sisi mashabiki tupunguze hisia kwa hizi timu ni muhimu kujua mipaka yetu na Sheri’s za CAF ili kupunguza mazoea kwa viongozi wetu
NB:Na hii ni fainali ya Afrika, sio mechi ya ligi.
Visit NDANDA