fursa

  1. JamiiForums Tanzania Fursa ya Fellowship ya Miezi 9 kwa Waandishi wa Habari wanaopendelea uandishi wenye maslahi kwa umma (PIJ)

    Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki: https://fellowship.utpc.or.tz/auth Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya Ushuru Sifuri ni fursa kubwa kwa nchi za Afrika

    Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya Ushuru Sifuri ni fursa pia ni kichocheo kwa Afrika

    Hivi karibuni, "Ushuru Sifuri wa China" imekuwa mada muhimu kwenye vyombo vya habari nchini Kenya. Watu mbalimbali, kuanzia Makamu wa Rais hadi wafanyabiashara, wanaipokea sera hiyo (itakayotekelezwa kuanzia Mei mosi, 2026) sio kwa kuikaribisha tu, bali kujipangia mikakati mipya. Sababu si tu...
  5. JamiiForums Tanzania Ahadi za Ajira kwa Watoto: Mtego au Fursa?

    Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi #NeverAgain
  6. JamiiForums Tanzania Biashara Zenye Mzunguko Mkubwa Sana Tanzania: Fursa Kubwa Kwa Wafanyabiashara Wadogo

    Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) β€” yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku. Kama unatafuta...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Akitokea anayetaka kutumia suala la mafuta kama fursa kujinufaisha, tutamwambia hapana

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mvinyo cha Afrika Kusini kinalenga fursa za ukuaji chini ya sera ya China ya ushuru sifuri

    Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
  9. JamiiForums Tanzania Plot4Rent UPANGA PRIME AREAFursa adimu kwa wawekezaji makini!πŸ“ Kiwanja 1200 SQM katikati ya Upanga

    🏒 πŸ‘‰ Kinafaa kwa ujenzi hadi ghorofa 12 Fikiria mapato ya: βœ” Rentals βœ” Airbnb βœ” Offices πŸ’° Hii sio kiwanja β€” ni opportunity ya kutengeneza pesa kila mwezi! ⚠️ Viwanja vya ukubwa huu Upanga ni nadra sana kupatikana Usikose nafasi hii! πŸ“² Call/WhatsApp: 0784 225 000 πŸ‘‰ Serious investors only
  10. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto zinazotokana na vita Iran ni Fursa kwa waTanzania wanaonyanyaswa

    Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari. Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi. Baadhi ya mataifa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia changamoto ya upatikanaji wa mafuta duniani kama fursa muhimu ya kuelekea kwenye uzalishaji na matumizi ya gesi asilia

    Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji. Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
  12. JamiiForums Tanzania Fursa Kwa mafundi, clients na wauzaji wa vifaa vya Ujenzi......Kuna link kujiunga na sisi

    πŸ—οΈ FURSA YA UJENZI & CONNECTIONS TANZANIA NZIMA! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Je, wewe ni Fundi stadi, Muuzaji wa vifaa, au Mwenye nyumba unayetafuta huduma bora? Huu ndio mchongo wako! Tumeanzisha Group la UJENZI & CONNECTIONS TZ kwa lengo la kuunganisha wataalamu na fursa nchi nzima. πŸ› οΈ KWA MAFUNDI (Fani Zote)...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wataalam wa EV conversion kuchangamkia fursa kwa sasa ili kubadili mfumo wa uendeshaji gari kutoka petrol kwenda umeme

    Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
  14. JamiiForums Tanzania Kufufua uchumi kupitia usindikaji wa mafuta: somo kutoka tiper na fursa ya sasa

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Karibu Karatu

    FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – KARATU MJINI Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Hii hapa nafasi ambayo haitokei mara kwa mara. Eneo lenye ukubwa wa ekari 3.5, lipo katikati ya mji wa Karatu, sehemu yenye uhai wa biashara na mtiririko wa watalii mwaka mzima. Linapatikana...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya bandari na fursa zake

    Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi. Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani? Dp world au adani yeye anapataje pesa ikiwa achukui kodi? Wale wenye malori yenye kontena wanafanya vipi...
  17. JamiiForums Tanzania Kukamilika kwa Meli nne za mizigo, fursa Ziwa Tanganyika

    KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa. Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nanauka awasihi vijana kuacha kukaa vijiweni na kupiga soga, watumie kikamilifu fursa za Serikali na za wadau

    Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
  19. W

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA PARTNER WA BIASHARA – FURSA YA USAFIRISHAJI NA BIASHARA TANZANIA

    Habari wanajamii, Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania. Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania na Machozi ya fursa

    Mtanzania ukimuona analia na kughalaghala popote pale ujue anaiwinda fursa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani mtu anaililia Iran kuliko ata ubalozi wake nchini Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…