fursa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama ningepata fursa leo ya kuonana na Rais ningemwambia yafuatayo

    Kama siku ya leo ningepata bahati ya kuonana na Mhe. Rais na kupata fursa ya kuzungumza naye, ningemwambia yafuatayo: Kwanza, ningemshukuru kwa kutoa ajira nyingi sana kwenye kada ya Afya na Ualimu lakini panatakiwa pawepo na mchakato rasmi ili kuondoa upendeleo. Ningemshauri pawepo hata na...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume hujiweka wao wa kwanza kabla yenu. Ikitokea mwanaume kapata fursa labda ya kusoma au kazi mbali na...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kuna haja sasa kwa Serikali kuajiri waonaji fursa?

    Tuna tatizo kubwa la kuziona fursa na kuzitumia si Serikali tu bali na Watu wake pia. Wananchi wanaitegemea serikali itengeneze fursa hili vijana na watu wote wenye uwezo au sifa za kuajiriwa na kujiajiri waweze kufanya kazi kwa mustakabali wa maisha yao na ustawi wa taifa. Cha ajabu level ya...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana Tutumie Fursa za Asili Zilizopo Kwenye Kata Zetu

    MBUNGE NGASSA: "VIJANA TUTUMIE FURSA ZA ASILI ZILIZOPO KWENYE KATA ZETU" "...Vijana wenzagu nimerudi Jimboni kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri yetu, nilipokuwa naelekea Halmashauri Viongozi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya wakaniambia kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Rorya asema wana Rorya tuchangamkie fursa kupitia Ziwa Victoria

    Wakazi wa Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa Ziwa Victoria unaouzunguka wilaya hiyo kwa asilimia 77. Akizundua tawi la Benki ya CRDB eneo la mji mdogo wa Shirati leo Jumatano Aprili 5, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka...
  6. JamiiForums Tanzania The most profitable business idea (ufugaji samaki)

    Habari zenu wakuu Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza? Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka...
  7. JamiiForums Tanzania Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani. Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika, Ulaya, Asia hata Amerika Kusini, hatua...
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kigoma tumieni fursa - Kigoma bado imefungwa

    Wabunge wa Mkoa wetu wanafahamu kutumia fursa za kiuongozi? OMR ndiyo yenye dhamana na masuala ya mazingira nchini. Sasa Je tumeitumia vema Ofisi ya Mhe Isdory Mpango - Makamu wa Rais katka eneo hili la mazingira?? Je, Mhe Isdory Mpango (Makamu wa Rais) mwenyewe ameelekeza watendaji wake ktk...
  9. JamiiForums Tanzania Fursa za kufundisha watu Kiswahili ni zenu Watanzania

    Hii fursa ya kufundisha watu Kiswahili duniani na Afrika ni kwenu wa Tanzania ninyi ndo watu ambao mnaongea Kiswahili sanifu tofauti na Wakenya pamoja na sisi Wakongo. Lakini kwenye makundi ya promote Kiswahili to the world na le swahili c'est la fierté de l'Afrique sijawahi kuona Watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Kila nikipata fursa ya kufanya mapenzi, naitumia

    Huwa sioni sababu ya kujivunga. Hayanaga tuzo. Ni kweli. Sasa kama sitofanya ndo napewa hiyo tuzo? Kama Mungu atanijaalia maisha marefu hapa duniani, nitafikia umri sitoweza kabisa kufanya mapenzi, na hata kama nikifa at young age, ntazikwa nayo na itaozea huko udongoni. Kwanini nijibane...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Afrika inauzwa na vijana wakipata fursa: Balozi wa Zimbabwe anaswa katika genge la utoroshaji wa Dhahabu

    Ukiitazama hii video inauma na kufikirisha sana, inatia hasira.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi ambayo wajinga wamepata fursa ya kuongoza werevu kwa kuwa wana 'connection'

    Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi. Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha. Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kufungua mlango kwa China kuleta fursa zaidi kwa dunia

    Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, nia thabiti ya kufungua mlango zaidi ya China bila shaka italeta fursa kubwa kwa dunia...
  14. JamiiForums Tanzania Bodaboda waelimishwe zaidi fursa za kiuchumi

    Chimbuko la bodaboda ni neno la Kingereza 'border' lenye maana ya mpaka. Baada ya Idi Amin kuipindua Serikali ya Rais Milton Obote mwaka 1971, Uganda ilikumbwa na uhaba wa bidhaa muhimu za nyumbani, hivyo kuanzia mwaka 1972 wajasiriamali wa Uganda walitumia baiskeli kuvusha bidhaa kama sukari...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lafanyika

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Janeth Mahawanga awahamasisha wanawake kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kuchangamkia fursa

    MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga kuwahamasisha Wanawake wenzangu kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kuchangamkia fursa katika kilele...
  17. JamiiForums Tanzania Fursa za Mazao ya Bustani Dodoma

    Wakuu amani iwe kwenu. Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k. Naomba pia kujua maeneo gani wanakodisha mashamba ya bustani, hasa panapopatikana maji kwa wingi, bei zake, barabara...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana

    Serikali ya Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya (Building Better Tomorrow) kwa kushiriki Kilimo biashara kupitia mashamba ya pamoja (block farms). WAZIRI wa Kilimo Husein Bashe, ametangaza majina ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inafungua soko la kimataifa, Fursa soko la Mbaazi nchini China

    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India. Ikumbukwe mbaazi hizo zitaingia nchini India bila ushuru.
  20. JamiiForums Tanzania Fursa soko la pilipili nchini China

    Kampuni ya Greenchain ya Shanghai, nchini China itatembelea Tanzania mwezi Machi 2023 kwa ajili ya kukutana na wazalishaji wa Pilipili aina ya Tajin (Sweet And chili pepper au kitaalamu Capsicum annuum.) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mkutano wa Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…