fursa

  1. PSPA Pure'12 udsm

    Kufufua uchumi kupitia usindikaji wa mafuta: somo kutoka tiper na fursa ya sasa

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
  2. L

    Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Karibu Karatu

    FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – KARATU MJINI Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Hii hapa nafasi ambayo haitokei mara kwa mara. Eneo lenye ukubwa wa ekari 3.5, lipo katikati ya mji wa Karatu, sehemu yenye uhai wa biashara na mtiririko wa watalii mwaka mzima. Linapatikana...
  3. Kikubwa Pumzi

    Biashara ya bandari na fursa zake

    Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi. Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani? Dp world au adani yeye anapataje pesa ikiwa achukui kodi? Wale wenye malori yenye kontena wanafanya vipi...
  4. Pfizer

    Kukamilika kwa Meli nne za mizigo, fursa Ziwa Tanganyika

    KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa. Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
  5. N

    Wakati soko la Tv za kawaida linakufa na watu kuhamia kwenye online stream tutengeneze JamiiMusic na JamiiVideo kama Stream Platforms kuchukua fursa

    Habari wakuu Ni wazi Njia za jadi za kusambaza muziki, filamu na vipindi vya televisheni zinaendelea kupoteza nafasi yake, huku huduma za streaming zikichukua nafasi kuu katika matumizi ya maudhui ya burudani. Hali hii imesababisha kupungua kwa utegemezi wa televisheni za kawaida. Vituo vingi...
  6. K

    Nanauka awasihi vijana kuacha kukaa vijiweni na kupiga soga, watumie kikamilifu fursa za Serikali na za wadau

    Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
  7. W

    NATAFUTA PARTNER WA BIASHARA – FURSA YA USAFIRISHAJI NA BIASHARA TANZANIA

    Habari wanajamii, Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania. Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
  8. Joshua Mbezi

    Watanzania na Machozi ya fursa

    Mtanzania ukimuona analia na kughalaghala popote pale ujue anaiwinda fursa 😂😂😂 Yani mtu anaililia Iran kuliko ata ubalozi wake nchini Tanzania
  9. Parabolic

    Masauni atoa wito kutumia fursa zilizopo kwenye Mazingira

    Unguja. Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya Tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni...
  10. Mr Beach Boy

    USHAURI: Ni sahihi kusoma certificate baada ya kuhitimu shahada ili kupata fursa za ajira?

    Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6 Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna. Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
  11. Masalu Jacob

    Vijana chukua fursa: Portable Petrol Station Machine

    Habari Tanzania ! Haya vijana changamkia fursa hii. Anza pole pole kwa yule mwenye ndoto za biashara ya uuzaji mafuta ya vyombo vya moto mchongo huo hapo. Hata kama hujapata wazo la biashara; unaweza kuta unasukuma hii biz maana soko lake ni uhakika kila siku saa 24 siku 7 za wiki. Kazi ni...
  12. Pfizer

    Kagera: Operesheni ya Daka Fursa na Samia (VIDAFUSA) imeanza kwa kishindo

    Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na...
  13. H

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  14. Roving Journalist

    Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
  15. M

    Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

    Kuna mikoa ukienda kufungua biashara, jipange kama ni mgeni
  16. F

    Kutafuta fursa ya ajira

    Habari za leo ndugu zangu. Naitwa Farid Hussein Issa, mhitimu wa Shahada ya Business Administration (Entrepreneurship Development) kutoka Mzumbe University. Nina uzoefu wa kufanya kazi kama Assistant Accountant, pamoja na Sales & Marketing, nikiwa na ujuzi wa matumizi ya Tally Prime, data entry...
  17. ELI COHEN

    Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  18. Damaso

    Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

    Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania? Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
  19. T

    Sina Abc za za Kahama nipeni fursa huko

    Habari wakuu kama kichwa kinavyosema hapo juu Sina abc za Mji wa Kahama naskia kipo vizuri sijawahi kufika nataka niuze simu hii nije, vipi kuhusu chumba kupanga na baadhi ya yenye shughuri za kiutafutaji, Pia mwenyeji wa mkoa wa kahama unaweza ukaninifadhili nikae Kwako cha muhimu uaminifuntu...
Back
Top Bottom