fundi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  2. JamiiForums Tanzania Utakubali kumwachia fundi kifaa ambacho amekwambia hakifai tena kupona?

    Kulingana na muda mchache huu nilioingia kwenye sekta ya ufundi Kuna vitu kadhaa nimejifunza Mfano juzi Kuna mteja aliniletea pasi baada ya kuikagua nikagundua ile pasi yake haifai Tena kupona kwani ilipiga shoti ikaua mpaka hita lakini ile pasi ilikuwa Bado nzuri kwa bodi lake Baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Fundi nzuri WA Samsung JAMAN simu imepasuka na wino umevuja naogopa Hawa chovya chovya

    Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo Naomba tuambiane Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake Kioo kwishnaaa Winoo. Hioo Samsung a03 Sijui sh ngapi sio kwa kutishiwa na watu hivi oohh
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  5. JamiiForums Tanzania Natengeneza Chereheni za aina mbalimbali

    Habari wapendwa. kwa wale wenye viwanda vidogo na vikubwa karibuni sana. Tunatengeneza cherehani aina zote. Iwe changamoto yoyote inayo husiana na ushonaji karibu umepata suruhisho. Gharama zetu ni nafuu popote tuna fika tunapatikana dar es salaam ila hata mikoani tunafika kwa gharama...
  6. JamiiForums Tanzania Fundi skimming na finishing kwa ujumla.

    Kwa huduma ya skimming, kupaka rangi na decoration mbalimbali kwa ubora na gharama nafuu. Mawasiliano: +255 656590393
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kubandika tiles za Garage (interlocking Garage Floor Tiles)

    Habari, Kama kuna fundi humu ,au mtu anajua fundi mwenye ujuzi wa kubandika hizi tiles za plastic za garage, Site iko Dar es salaam. Anichek PM.
  8. JamiiForums Tanzania Fundi na muuzaji wa submeter ana hitajika hapa

    Nahitaji fundi wa kunifungia sub meter ile ya kuweza kutumia umeme wangu peke angu... Nipo dar gongo la mboto... Mawasiliano njo pm chap
  9. H

    JamiiForums Tanzania Fundi Welding mwenye uwezo wa kutengeneza spiral stair cases

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi welding mwenye uzoefu wa kutengeneza Spiral staircase. Material kwa maana ya chuma, welding sticks, grinder discs kulingana na size grinder size atakayo kuwa nayo. Fundi atachaji gharama ya fundi tu. Kazi itafanyika nyumbani kwangu. Kama...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Fundi bomba majumbani na maofisini free site visit

    Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hapa nchini hakuna kiungo fundi wa mpira kumzidi Gerson Gwalala wa Coastal Union

    Anaitwa Greyson sijui Grayson Gwalala kiungo mkatashombo wa Coastal Union ya Tanga, jana amekuwa man of the match kwenye mechi dhidi ys Singida Big Stars yenye viungo wa kimataifa waliooonyesha ufundi wa hali ya juu wakati wa mechi dhidi ya Yanga, dogo huyu wala hastahili kukosa national team...
  13. JamiiForums Tanzania Maswala ya fundi kunambia leta Gari tuone ndipo nikupe gharama inakwaza

    Biashara za Mtandaoni bhana zina Changamoto sana, tunajitahidi mno kuendana na Wakati lakini wafanya biashara wengi hawajui kwanini wanafanya biashara na ipi ni namna nzuri ya kufanya biashara na kuvuta wateja. Unakuta unashida ya Kubadilisha taa ya Nyuma, au unataka Plug za Ignition...
  14. JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa mitambo viwandani, induction furnaces,overhead na cranesetc

    Mimi ni fundi wa umeme wa mitambo mbalimbali ya viwandani na majumbani,kama matanuru ya umeme ya kuyeyushia vyuma,kama ya viwanda vya nondo(INDUCTION FURNACES),OVERHEAD CRANES,MAMBO YA UYEYUSHAJI CHUMA(FOUNDRY) NK,NAFANYA PART TIME,SIYO KUAJIRIWA,,NIPO DAR.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa kushona nguo

    Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo; 1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu 2. Kazi inafanyika KIMARA DSM 3. Nahitaji...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi friji na majiko ya gesi

    Mimi ni fundi friji na majiko ya gas mawasiliano 0696222711
  17. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza bembea za kisasa kwa michezo ya watoto

    Habari zenu wakuu. Natafuta fundi ambaye anaweza kutengeneza bembea za kisasa Kwa michezo ya watoto. Location. Morogoro mjini
  19. H

    JamiiForums Tanzania Fundi Mechanics anatafuka kazi - DAR

    Nina kijana/rafiki Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika garage (sio chuo) Uzoefu miaka nane, ila hana ofisi rasmi hivyo nimeona nichukue nafasi hii kumtafutia...
  20. JamiiForums Tanzania Kalaga baho Nongwa: fundi redio call

    Nusu waniue leo! Asee njaa njaa jana nikaletewa mchongo kutengeneza radio call hazishiki frequency. Kalaga baho sindo nikajimwambafaiiii... Njaa hizi! Asee nikapewa advance jana hiyohiyo nikapata hela ya kula. Leo nimeenda pale kuonana na baofeng mpyaaaa.. walinzi wamechanganya frequencies...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…