Natafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu, mwaminifu na mweledi wa kazi yake, ambaye yuko tayari kufanya kazi nasi.
📍 Eneo: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam
Mtu mwenye sifa hizo na ambaye yuko tayari kufanya kazi, tafadhali wasiliana nami kupitia:
📞 0657 736 223
📧 wilsonbernard255@gmail.com
Kwa...