Salaam kwenu
Bila shaka Mwenyenzi Mungu anawajalia kila lililo jema
Natarajia kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza na kuuza MAJANI ya malisho ya mifugo (ngombe, mbuzi, kondoo......).
Kwa kuanzia nimenunua baadhi ya vifaa kama vile: tractor, drum mower, round hay baler, hay rake, chaff cutter...