Baada ya kuitembelea stendi ya Magufuli iliyotajwa na CAG kuwa itasababisha foleni

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Kwakweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lissu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni.

CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua legacy ya Magufuli wanatakiwa wakaivunje, kuendelea kuwepo kwa stendi hii ni aibu kubwa sana kwao na nafsi zitakuwa zinawasuta kila wakifika hapo kuitumia.

Ngoja tuone wanavyovunja ndege, flyover, SGR, etc.

MBT.jpg
 
stend sio shida! shida ni watu wanavuka kwenda stend ndogo ya daladala wanasababisha foleni

badala ya kujenga flyover ya magari wamejenga daraja la wavuka miguu! shida
 
Ripoti ya CAG ikikosekana ubadhirifu uliofanyika hivi majuzi wizara ya fedha itakua ripoti inayojali wawekezaji wa ndani.
 
Bado haibadilishi ukweli kuwa alikua dikteta..

Mkapa hakujenga airport Lupaso..

Mwalimu hakujenga airport Butiama..

Mwinyi hakujenga airport Kivure

Kikwete hakujenga airport Msoga..

CCM wameivuruga nchi kwa miaka mingi ila ile miaka 5 ya Jiwe ilikua ni uvurugaji mkubwa kuwahi kutokea..

Huwezi kuelewa hasara nyingi hazikutajwa kipindi kile sababu vyombo vya habari vyote vilitiwa mfukoni , mihimili yote 3 ilitiwa mfukoni (rejea jibu alilopewa Paschal Mayalla)

Jiwe aliweza kuamka na kutoa order bila hata vitu kupitishwa na bunge! Unawezaje kumhoji mtu aliyemuweka mpwa wake kwenye kitengo nyeti cha hazina na ndio anakua mlipaji wa pesa za serikali? Ni kichaa tu ndio ataamini eti awamu ya 5 ufisadi ulikomeshwa.
 
Ila mwamba huwa unatoa maboko aisee. Dah! Shudu zako huwa zinanuka haswa ukihara jukwaani
 
Lumumba buku 7 wakimtaja Lissu kwenye kila post anayoreply kunakua na ongezeko la elfu 3.. hivyo ukiona Post yeyote au reply yeyote inayomtaja Lissu humu imetolewa na kijana wa UVCCM jua hiyo post kaingiza 7000+3000=10k.
Ahaaaaa hii kali ya mwaka
 
Kwa kweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lisu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni.
CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua legacy ya Magufuli wanatakiwa wakaivunje, kuendelea kuwepo kwa stendi hii ni aibu kubwa sana kwao na nafsi zitakuwa zinawasuta kila wakifika hapo kuitumia.
Ngoja tuone wanavyovunja ndege ,flyover, Sgr etc.
.View attachment 1829778
Japo mimi siyo mhandisi ila ushauri wangu wangeiga kidogo modernity ya stand ya Dodoma pia kivuko kwenda stand ndogo wangeweka subway.
 
Mnaivunja lini sasa
Acha kuweweseka chizi wewe.
Kalifufue sasa hilo DUBWASHA LENU!
S i mnao kina mwamposa? Na gwajima!
Wenzio wanalilia nchi wewe unawalilia wapuuzi waliotwaliwa na .mungu kuwapisha watu wema!!!!!
 
Kwa kweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lisu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni.
CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua legacy ya Magufuli wanatakiwa wakaivunje, kuendelea kuwepo kwa stendi hii ni aibu kubwa sana kwao na nafsi zitakuwa zinawasuta kila wakifika hapo kuitumia.
Ngoja tuone wanavyovunja ndege ,flyover, Sgr etc.
.View attachment 1829778
Hii stendi ni nzuri ila inatakiwa ikamilike kwanza...ina viporo vingi sana!
 
Back
Top Bottom