Pale kwakweli ni changamoto sijaona tofauti kubwa na enzi zile,Daraja la ubungo naona bado halijatatua tatizo, hapo chini kila Mara ninapopita lazima gari isimame kusubiri zamu ya kupita.
Kwanini waliondoa ile round about maana ilisaidia tofauti na sasa
Maandamano ya Simba SC baada ya kufungwa magoli 4 kwa sifuri. Wanasema refarii hakuwa fair
Maandamano ya Simba SC baada ya kufungwa magoli 4 kwa sifuri. Wanasema refarii hakuwa fair
Wasipoangalia hizi desing zao hazittamaliza shida ya foleni jijini, alternatively waweke madaraja ya juu tena kama Kibamba.Folen inasababishwa sana pale kimara mwsho darajan
Daladala pale Zina fanya kama stend kupakia abiria na lile eneo ni dogo hivyo usababisha kuziba NJIA ilo tatzo nime liona kwa muda, na ni Mala nyingi huwa hivyo kingine ni zile u turn za pale bucha nabaruti zinachangia kwa kiasi
Nadhani kuna watu hawajatimiza wajibu wao vizuri, kimsingi naona ipo haja kuweka round abouts nyingi kama maraja ni gharama kuyajengaKuna siku nilitumia zaidiya 1hr toka kimara mwisho mpka kuvuka ubungo..
Kuna foleni ya kijinga sana hapo hata sijui sababu ni nini!
Jion kulikuwa na daladara limedondoka nyuma kidogo na kituo cha mwendo kasi. Kama halijaondoswa hapo na malori yakaanza pita..basi lazima shida iendelee, maana njia ya kupita kuelekea kimara, ilikuwa finyu sana!Nimepita muda huu Kutoka Kimara kuja mjini kati nimekuta foleni ndefu sana kutoka Kimara ha Shekilango na uvunguni mwa Kijazi Bridge ni vurumai tupu kupishana kwa shida balaa, naamini kuna mashuhuda humu.
Kuna ajali kimara Coaster imepigwa na roli ikahama njia ikaingia njia mwendo kasi na mwendokasi ikala upande mmoja wa Coaster.Hicho kipande pengine kuna ajali kubwa
Huwezi kuwa serious, round about ulinganishe na ile double decker bridge?Daraja la ubungo naona bado halijatatua tatizo, hapo chini kila Mara ninapopita lazima gari isimame kusubiri zamu ya kupita.
Kwanini waliondoa ile round about maana ilisaidia tofauti na sasa
Interchange ya Kurasini ni MFANO WA KUIGWA,mbona hapo hakuna foleni?Wasipoangalia hizi desing zao hazittamaliza shida ya foleni jijini, alternatively waweke madaraja ya juu tena kama Kibamba
Ni Mikia inaandamana Mkuu, kwani wewe pia mkia?Punguza bangi jombaaa...
Duh! Vifo? Majeruhi?Kuna ajali kimara coaster imepigwa na roli ikahama njia ikaingia njia mwendo kasi na mwendokasi ikala upande mmoja wa coaster