Fighting for Tanzania
"Fighting for Tanzania" ni nini ?
ni uhamasishaji wa mabadiliko chanya kwenye nchi na kupinga vikali matukio ya kiuhalifu na utekaji, matukio yote ya uvunjifu wa haki za binadamu, matukio yote ya matumizi mabaya ya madaraka, matukio yote ya ukiukwaji wa makusudi wa...