fifa

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa FIFA imeifungia Yanga kusajili madirisha matatu kutokana na deni la Kocha Luc Aymael

    Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael. Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mnaobeza maamuzi ya TFF nikumbusheni ni lini CAF, CAS au FIFA zilitengua maamuzi/hukumu za TFF?

    Kuna mzee mmoja ni Jaji mstaafu kwa sasa, alishawahi kutuambia kuwa ukienda Mahakamani basi mlalamikaji na mlalamikiwa wote wanona wana haki. Hata kesi za jinai ukisikiliza upande wa mtuhumiwa ni ama anaonewa au ama anaalalamika kosa limekuzwa. Nirejee hapa, sualal la Fei kihuruma linatazama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la Fei toto imekuwaje lipo TFF wakati lilipelekwa CAS, FIFA?

    Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS) Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
  4. Perfectz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA PC games fifa 14 na pes 17 patche to 23

    PATA FIFA 14 PATCH 23 🔥 🔥 🔥 PES 17 PATCH 23🔥🔥🔥 KWA BEI POA KABISA UNAZIPATA GAMES HIZO KAMA MASHINE YAKO INA 4GB RAM ANGALAU CORE 3i ILA BEST ZAIDI IWE i5. Pia TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 🔥🔥🔥 TUNAFIKA ULIPO KWA DAR NA PWANI 0710701361📞🔥🔥🔥 KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA...
  5. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania FIFA kufungua mashitaka ya kinidhamu kwa timu ya Argentina

    Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita. Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia ushindi na kulishika kombe kwenye Uwanja wa Lusail, Desemba 18, 2022. Sheria za FIFA zinatamka kuwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ni Messi vs Mbappé fainali ya FIFA World Cup leo, Unampa nani kete yako?

    #FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64. Leo katika Dimba la Lusail Stadium, Al Daayen watakutana Mabingwa mara 2 wa #KombelaDunia Timu za...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nasema na najiamini Argentina anaenda kuwa Bingwa wa 2022 QATAR FIFA WORLD CUP tarehe 18/12/2022?

    1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC 2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC 3. Wana Golikipa Bora sana 4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine 5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa 6. Argentina ni Timu ya Mungu 7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa Nami MINOCYCLINE namalizia kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

    Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha. Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti! Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi. Hii sio mara ya kwanza Agentina...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nusu Fainali: Argentina 3-0 Croatia, FIFA World Cup, 13/12/2022

    69' Julian Alvarez anafunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri ya Messi 60' Timu zinashambuliana kwa zamu 58' Messi anakosa nafasi nzuri, shuti lake linapanguliwa na kipa 55' Argentina wanaamka na kufanya mashambulizi ya kushtukiza 50' Croatia wanamiliki mpira na kupiga pasi nyingi Kipindi cha...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wapewa tiketi 13,000 za bure kuiona Morocco ikicheza Nusu Fainali World Cup 2022

    Shirikisho la Soka la Morocco (MFF) limetoa tiketi 13,000 kwa mashabiki wa timu yao ya taifa kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Ufaransa, Jumatano Desemba 14, 2022. Ndege za Shirika la Ndege la Royal Air Maroc limetoa ndege 30 kwa ajili ya kwenda Qatar kukiwa na punguzo la...
  13. Slowly

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, Mshale unaonyesha Ufaransa anaenda kuchezea kichapo heavy semi final FIFA W/C

    Katika mechi 11 zilizopita Ufaransa ameshinda mechi 5 , amefungwa mechi 4 na ametoka droo mechi mbili, amefunga magoli 17 na amefungwa magoli 13 Kwa upande wake Morocco , katika mechi 11 zilizopita, ameshinda mechi 8 , hajafungwa mechi hata moja , ametoka droo mechi 3, amefunga magoli 19 na...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania New FIFA released Record is all About Brazil heritage

    Most FIFA World Cup goals scored : 🇧🇷Brazil - 232 🇩🇪Germany - 227 🇦🇷Argentina - 138 🇮🇹Italy - 128 🇫🇷France - 124 🇪🇸Spain - 106 Most FIFA World Cup winners : 🇧🇷Brazil - 5 🇩🇪Germany - 4 🇮🇹Italy - 4 🇦🇷Argentina - 2 🇺🇾Uruguay - 2 🇫🇷France - 2 🇪🇸Spain - 1 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England - 1 Most match wins in...
  15. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kuishtaki TFF FIFA

    Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam. Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA yaiondoa rasmi Kenya kifungoni

    Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura, Shirikisho la Soka Duniani limeondoa pia adhabu ya kifungo kwa Shirikisho la Soka nchini humo (FKF). Baada ya hatua hiyo, wawakilishi kutoka FIFA na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) watatumwa nchini Kenya kwa ajili ya mazungumzo na...
  17. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Kijana Mkenya anayevutia mashabiki Qatar FIFA World Cup

    Abubakr Abbass, a 23-year-old from Kenya, has emerged as a firm fan favourite – and accidental social media sensation – during the football World Cup in Qatar. Sat on a tennis-umpire chair and wearing a large foam finger, he guides the hundreds of fans visiting the historic market – called Souq...
  18. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA atoa tamko kuhusu Qatar

  19. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA awapa makavu wazungu dhidi ya Afrika

    RAIS WA FIFA GIAN INFANTINO. Rais wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika nchini Qatar. Infantino ambaye ni raia wa Switzerland mwenye asili ya Italia amesema...
Back
Top Bottom