Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,773
18,727
Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha.

Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti!

Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi.

Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata.
 
Imesemwa na wachezaji wa ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha

Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti

Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi

Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata
Unaweza kuwa sawa lkn hii ya leo ni Penat hakuna utata ni penat ya wazi lkn ushabiki unakutesa
 
Imesemwa na wachezaji wa ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha

Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti

Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi

Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata
Mi naona Arabs family their desired result ni kumpa Morroco kombe baada ya Saudia kushindwa
 
IMG_20221213_232506.jpg

Mtasingizia na wachawi , dk ya 68 short on target 0 , mnasingizia wenzenu wanabebwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom