SEPP Blatter asema FIFA walifanya makosa kuipa Qatar kuwa mwenyeji wa World Cup 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,300
5,434
Rais huyo wa zamani wa FIFA, amedai kuwa hakutaka michuano hiyo ya 2022 ichezwe Qatar kwa kuwa ni nchi ndogo kuweza kusimamia shughuli hiyo kubwa ya soka.

Blatter (86) ambaye alikuwa Rais wa FIFA wakati maamuzi hayo yanafanyika Mwaka 2010 anasema yeye aliipigia kura Marekani huku akimlaumu aliyekuwa Rais wa UEFA, Michel Platini na wenzake kadhaa kuipigia kura Qatar.

Kauli hiyo imetolewa wakati kukiwa na hoja kadhaa kuhusu masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa ujenzi wa viwanja vitakavyotumika katika michuano hiyo.

"""""""""""""""""""

World Cup 2022: Awarding Qatar the tournament was a mistake, says former Fifa president Sepp Blatter

Former Fifa president Sepp Blatter says the decision to award the 2022 World Cup to Qatar was a "mistake".

Blatter, 86, was president of world football's governing body when Qatar was awarded the tournament in 2010.

The Gulf state has been criticised for its stance on same-sex relationships, human rights record and treatment of migrant workers.

Blatter said he was "right" to have said at the time that the tournament "should not go" to Qatar for 2022.

The Swiss was speaking on upcoming BBC Radio 5 Live podcast series Power Play - The House of Sepp Blatter about the decision to award Qatar the World Cup.

In an interview with Swiss newspaper Tages Anzeiger, Blatter added Qatar is "too small of a country" to host the tournament and that "football and the World Cup are too big for it".

The Qatar World Cup, the first to be hosted in the Middle East in the tournament's 92-year-history and the first during the Northern Hemisphere winter, takes place from 20 November to 18 December.

Fifa's executive committee voted 14-8 for Qatar to host the tournament ahead of the United States 12 years ago, at the same time Russia was awarded the 2018 event.

Blatter says he voted for the United States and blames then-Uefa president Michel Platini for swinging the vote in Qatar's favour.

"It was a bad choice and I was responsible for that as president at the time," he said.

"Thanks to the four votes of Platini and his [Uefa] team, the World Cup went to Qatar rather than the United States. It's the truth."

Blatter also said Fifa had adjusted the criteria used to select host countries in 2012 after concerns were raised about the treatment of migrant workers building World Cup stadiums in Qatar.
"Since then, social considerations and human rights are taken into account," he added.

Blatter spent 17 years as Fifa president but was forced to step down in 2015 over allegations he unlawfully arranged a transfer of two million Swiss francs ($2.19m; £1.6m) to Platini, who was also forced to resign from his position at Fifa.

He was originally banned from football by Fifa for eight years, later reduced to six, over the Platini payment. In March 2021 he then received an additional ban until 2028 for "various violations" of Fifa's code of ethics.

Blatter and Platini were charged with fraud last November but were found not guilty at a trial in Switzerland in July.

The decision to award the 2018 and 2022 World Cups to Russia and Qatar respectively has been dogged by accusations of widespread corruption, with two investigations launched by Swiss prosecutors and the US Department of Justice in 2015.

Qatar and Russia have always denied any wrongdoing, and both were effectively cleared by Fifa's own investigation in 2017.

Source: BBC
 
Shida yote hiyo ni Qatar kutotoa nafasi kwa mashoga (wamepiga marufuku harakati zote za mashoga)... ukitaka ugombane na wa magharibi we kataa ushoga!!! na ndo maana kombe la msimu huu limekosa msisimko kwa sababu wajuaji wenye hela mashoga wa magharibi hawatakiwi kufanya harakati zao huko Qatar
 
Shida yote hiyo ni Qatar kutotoa nafasi kwa mashoga (wamepiga marufuku harakati zote za mashoga)... ukitaka ugombane na wa magharibi we kataa ushoga!!! na ndo maana kombe la msimu huu limekosa msisimko kwa sababu wajuaji wenye hela mashoga wa magharibi hawatakiwi kufanya harakati zao huko Qatar
Hizi ni lawama zisizo na maana.sio kila kitu lazima tuwaachie wazungu wafanye.Huo msisimko unaweza ukafanywa na watu wengine, wako warabu,waasia waafrika na wengine.Tunawaachia wazungu wafanye kila kitu alafu wasipofanya vile tunategemea tunaanza lawama na visingizio.Blatter yuko sahihi na sababu zake wala haiusiani na mambo ya ushoga kwasababu msimamo wake aliutoa toka mchakato wakupata mwenyeji unaanzishwa na kulikua na mvutano mkubwa na sababu zilikua nyingi hadi wakalazimisha kubadilisha majira ili mashindano yachezwe Qatar.Hayo mambo ya ushoga mnayakuza tu bila sababu za msingi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom