Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema itakuwa kosa kubwa sana Rais wa FIFA, Gianni Infantino akiondolewa madarakani, na kwamba huenda michuano ya Kombe la Dunia haitofanikiwa iwapo ataondolewa.
Kumekuwa na shinikizo la kumtaka Infantino aondolewe kufuatia kukwama kwa mpango wake wa kuvutia...