fedha

  1. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

    Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo. ==== ➡️"TANROAD...
  2. JamiiForums Tanzania Stendi Iliojengwa Kwa Fedha za Umma unapobadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada wa Kuchoma Mbuzi.

    Wakuu habari ya Jioni. . Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji. . Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani: Sababu za Wamarekani kupewa tenda "Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
  4. JamiiForums Tanzania Fedha au Risasi

    "PLATA O PLOMO" 13/04/2022 Pablo Escobar, mlanguzi nguli wa madawa ya kulevya mwenye asili ya Colombia alikuwa akitumia maneno hayo mawili kuelezea njia anayoitumia katika kufanikisha biashara haramu za madawa ya kulevya. Neno Plata likiwa na maana ya "Fedha" na Neno Plomo likiwa na maana ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu kajifunze kwa Mzee Msuya na Mtei. Bajeti ya nchi haiwezi kuchezewa

    Mh Mwigulu nakushauri uende kuwaona wazee wawili- mzee Msuya na mzee Mtei ambao nina hakika unajua walikuwa mawaziri wa fedha kama wewe wakati ule wa shida kuliko hizi za leo- ila walisimamaia bajeti na kutoa maelezo ilipobidi. Unaendeshaje uchumi wa nchi namna hii- yaani ni unazidiwa na mama...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba gani nyingine ya kutusaidia tukipatwa na majanga Zaidi ya akiba ya chakula na akiba ya fedha za kigeni?

    Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka. Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia waimiminia zaidi fedha Ukraine $1bn (£770m)

    The World Bank has approved financial support to Ukraine worth $1bn (£770m) to help keep critical services running as the country fights a fresh assault by Russia in Vladimir Putin’s ongoing war. The bank said the funds would be used to support the continuation of key government services...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu afafanue hizi pesa zimefanya nini?

    Bajeti ya mwaka 2021/2022 iliyopitishwa na Bunge ukiondoa masuala ya kulipa deni la taifa na matumizi ya serikali ikiwemo kulipa mishahara ya Watumishi, kiasi cha Shilingi Trillion 4 zilitengwa kwaajili ya maendeleo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madarasa na vituo vya afya. Baadaye tukapata...
  9. JamiiForums Tanzania Bukoba waendelea kupigwa kalenda stendi kuu ya mabasi, Serikali yasema mpaka itafute fedha

    Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya. Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi za EAC kuwa nchi moja na kutumia fedha moja ifikapo mwaka 2023

    Nchi mpya inaweza kuundwa ndani ya shirikisho la nchi za Afrika mashariki. Shirikisho la Afrika Mashariki, ni muungano unaopendekezwa wa nchi sita wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa nchi moja ya shirikisho ifikapo 2023. Mataifa haya saba yatakuwa Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  13. JamiiForums Tanzania Kampeni nyingi za utunzaji mazingira nchini zinazalisha fedha ambazo hazitumiki moja kwa moja kutunza mazingira

    Zipo kampeni nyingi sana zilizowahi kufanyika na zinafanyika Nchini juu ya utunzaji wa mazingira lakini kinachofanyika ni tofauti sana. Watu wanatumia gharama kubwa sana kuzunguka Nchini, posho nauli n.k lakini tukiangalia kwa kina tunaona fedha inayotumika kwenye kampeni hizo ni kubwa kuliko...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Shoo, Wana KKKT wa Konde wanasema fedha zao bilioni 2 za kujenga chuo kikuu ndizo zimekutoa Kilimanjaro kwenda kumfukuza askofu wao

    Ni vyema sasa Askofu Shoo akatoka na kufafanua hili. Ukifuatilia YouTube, Wana Konde wanaidai kwamba mzizi wa mgogoro ni fedha hizo, na wanadai askofu "mchaga" anatumika kuficha waliozifuja. Kuna nini katika fedha hizo? Maana ni vizuri akajisafisha kwamba hakuzila Hela hizo, na kama alizila...
  15. JamiiForums Tanzania Tofauti na kugawa fedha moja kwa moja kwa wananchi, njia zipi zitumike kuhakikisha kwamba mafanikio ya Serikali yanawafikia Wananchi?

    Wanabodi, Takwimu mbalimbali zinaonyesha jinsi ambavyo uchumi wa Tanzania umekuwa ukibadilika. Ingawa njia hii inaweza isielezee kwa uhalisia kinachojiri kwenye nchi tofauti, GDP bado ina angaliwa sana kwenye masuala haya ya uchumi. Kwa Tanzania, GDP imekuwa ikiongezeka kwa asilimia fulani...
  16. JamiiForums Tanzania Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji. Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka anuani za makazi Tanganyika imepewa sh. 1billion kila mkoa na Zanzibar sh. 500,000,000 (nusu bil.)...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Sijasema fedha za AZAKI ipewe Serikali

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amemaliza mkanganyiko wa taarifa kuhusu fedha za USAID na AZAKI ambayo ilionekana kutoeleweka vizuri na baadhi ya vyombo vya habari, wanaharakati na wadau mbalimbali. Itakumbukwa kuwa juzi akiwa Dodoma alifanya kikao kwa njia ya mtandao na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nitalindaje thamani ya akiba ya fedha zangu kipindi hiki cha mfumuko wa hatari?

    Wakuu kwema? Kama mnavyojua kipindi Hiki ni kipindi Cha mfumuko wa hatari duniani more kutokana na changamoto mbalimbali za kidunia Sasa tulioweka akina zetu Benki thamani yake zinaporomoka huku tukiona Mimi binafsi akina yangu niliweka kwenye fedha za kigeni, dollar nikitumaini nitakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ipo tayari kuwa Mwenyeji wa Taasisi ya Fedha Ya Afrika Mashariki (EAMI)?

    Ndugu WanaJF, Kuna taarifa njema hapa. Kuelekea uanzishwaji wa Sarafu ya Pamoja na Benki Kuu ya Afrika Mashariki, Waziri wa Fedha amepigia chapuo Taasisi ya Fedha (East African Monetary Institute - EAMI) iliyoanzishwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki iwepo Arusha na Tanzania ipo tayari kuwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkakati wa upigaji wa fedha katika anuani za makazi

    Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa. Mbinu wanayo ipigia mkakati ni (1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…