fedha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tangu mashambulizi ya Urusi yaanze, Ukraine imepokea misaada ya silaha na fedha kiasi cha dola za Marekani zaidi ya bilioni 12! Hizi zote ni mkopo!

    Ukraine received over $12bn in weapons, financial aid since start of war Ukraine has received over $12bn in weapons and financial aid since the start of Russia’s full-scale invasion on February 24, Ukraine’s Prime Minister Denys Shmyhal has said. Speaking at a high-level donors’ conference in...
  2. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango amwambia Balozi Polepole kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma. Makamu wa Rais amempongeza...
  3. JamiiForums Tanzania Sedoyeka: Katika bajeti ya mwaka 2022/23 Wizara imetenga fedha Shilingi bilioni 5.5 kwa ajili ya kuweka mazingira wezeshi ya kubuni, kuendeleza

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka amesema katika bajeti ya mwaka 2022/23 Wizara imetenga fedha Shilingi bilioni 5.5 kwa ajili ya kuweka mazingira wezeshi ya kubuni, kuendeleza ubunifu pamoja na kujengea uwezo Taasisi na mbunifu mmoja mmoja. Prof...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara inayohusika na teknokojia ya habari na mawasiliano/ya fedha ianzishe kurugenzi ya uchumi wa kidijitali (digital economy)

    Nashauri wizara ya fedha, wizara ya teknokojia ya habari na mawasiliano zijikite katika kupenyeza na kueneza masuala ya uchumi ya kijiditali(digital economy). Waitwe wataalamu kutoka nyanja zote wafanye presentation na michakato ya jinsi watanzania wanaweza kufaidika na kuutumia uchumi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tansesco kununuliwa na Fedha ya Dowans!

    Makamba anakwenda kuuza Tanesco yetu na watakao inunua ndio hao wanaolipwa mabilioni ya dowans, kwa kifupi, wanachukuwa hela zetu Serikalini tunawalipa halafu wanatumia fedha hiyo hiyo kuinunua Tanesco na kuimiliki, is a zero sum game, …
  6. JamiiForums Tanzania SERIKALI HAINA FEDHA

    MAHITAJI YA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI MZIGO WETU SOTE NA SIYO SERIKALI PEKE YAKE. Kutokana na ukweli kuwa hakuna jipya chini ya jua. Leo baada ya kufuatilia maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wafanyakazi Duniani nililazimika kukaa katika maktaba yangu nyumbani na kutafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena afungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi, wajadili Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23

    Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akimkaribisha Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ili afungue Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing). Waziri wa Ulinzi na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Edward Hosea, constructive engagement uliyonayo itaua TLS. Serikali ikiwanyima fedha mtajiendesha vipi?

    Nadhani TLS Ina wanachama wasio na akili na mawazo yakujitegemea;wanachama wengi wana mawazo kama yalivyo maono ya Watumishi wa Umma kwamba serikali ikupe posho,salary,nyumba,matibabu nk lakini pamoja na vyote hivyo mtumishi huyu anashindwa kujenga japo nyumba huku asiye na kazi aliyepo Kijijini...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti za CAG: Itungwe sheria wale wote wanaotajwa au kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha katika ripoti za CAG wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi

    Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi. Binafsi siku hizi sina hata hamu tena ya kufuatilia ripoti za CAG kwasababu naona ni kama kutufanya...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Wadau naulizia benki au taasisi gani za fedha zinazotoa mikopo ya riba nafuu kwa wafanyabiashara wa kati na wajasiliamali

    Wadau naulizia taasisi gani au benki gani inayotoa mikopo ya riba nafuu kwa wajasiliamali au wafanyabiashara wa kati
  11. JamiiForums Tanzania Kinana: Viongozi wazuri wanaogopa kugombea sababu wanajua watatakiwa kutoa fedha nyingi

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewata wajumbe wa Mkutano Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro kuchagua watu sahihi wanaokubalika na wananchi. Aidha, amewataka kuepukana na kasumba ya kupigana fitna na tabia ya watu wenye uwezo ndani ya chama kupigwa vita ili kuwarudisha nyuma...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Benki ya Equity nchini

    BASHE AENDELEA KUHAMASISHA TAASISI ZA FEDHA KUTOA MIKOPO YA RIBA NA MASHARTI NAFUU KWA WAKULIMA; UJENZI WA MAGHALA NA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI BAADA YA KUKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA EQUITY Dodoma, Tanzania. Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia peleka fedha za kutosha TANAPA, NCAA & TAWA

    Mh Rais Mama Samia nakusalimu kwa jina la JMT. Naomba kukupongeza na kukushukuru namna unavyopigania kuinua UTALII kupitia ROYAL TOUR.Ni wazi tena pasipo shaka kwamba ROYAL TOUR inakwenda kusaidia kuongeza idadi ya watalii Tanzania.Hili ni jambo jema linastahili pongezi za dhadi kwakuwa idadi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kuhusu fedha zilizotolewa na Mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya Kijamii

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa. Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA tunahitaji hesabu ya fedha zinazokusanywa mitaani kwenye mifuko ya rambo, hazitolewi risiti, tunaweza kupigwa na wajanja!

    Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi. Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
  16. JamiiForums Tanzania Tuziombe nchi rafiki na taasisi za fedha hususani World Bank na African Development Bank waahirishe au kutusamehe baadhi ya madeni wanayotudai

    Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi. Wengi wanapenda kuona rais wetu...
  17. JamiiForums Tanzania Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) usaidizi wa dharura wa kifedha

    Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema. Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2025/2026 au 2030/2031 itaonesha ubadhirifu wa awamu ya sita

    Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba . Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana. Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita. Lakini kwa uhakika...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri msafara wa Rais Samia nchini Marekani, uwe ndio msafara wake hapa nchini ili tupunguze magwanda na mitutu

    Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi. Lakini pia akipunguza silaha itafanya Dunia iamini Tanzania ni kisiwa Cha amani na watalii pamoja na wawekezaji...
  20. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

    Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo. ==== ➡️"TANROAD...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…