fedha

  1. JamiiForums Tanzania Namna ya kuandaa TUKIO kwa Ajili ya Harambee (Event-Based Fundraising)

    Matukio kwa ajili ya harambee (events - based fundraising) ni miongoni mwa njia zitumikazo na Taasisi kwenye ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi au Programu. Matukio huiwezesha Taasisi kuwa karibu na wafadhili pia husaidia kuufahamisha umma juu ya kile ambacho Taasisi inataka...
  2. JamiiForums Tanzania Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

    Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje. Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi...
  3. JamiiForums Tanzania Mawaziri wapiga kimya kuhusu uwepo wa fedha zilizositishwa na bunge bajeti ya 2022/2023

    Wakuu, Ofisi, halmashauri, mikoa ,taasisi na mashirika ya Umma kuna hali ambayo haijulikani kuhusu uwepo wa fedha au. Ukifika kufuatilia malipo unaambiwa mfumo haujafunguka. Tangu July hadi September mfumo haufunguki. Mwenye ufahamu kuhusu hali ya kifedha atujulishe tafadhali.
  4. JamiiForums Tanzania Songwe: Mtendaji afungwa jela miaka 8 kwa ubadhirifu wa fedha za umma

    Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma, Tsh. milioni 26. Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati January Makamba, fedha za miradi mipya ya Tanesco bajeti 2022/2023 hadi sept 2022 hazijapekwa kanda ya ziwa

    BARUA YA WAZI KWA Mh.JANUARY MAKAMBA WAZIRI WA NISHATI . Ninakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pamoja na salam hizi , ninaomba tukufikishie ujumbe wa barua hii uupate ili uifanyie kazi kuilinda na kuiheshimu heshima ya Rais wetu Samia na kuenzi kauli yake ya kaxi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

    Nawasalimu Wakuu, Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu? Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi? Kazi kwenu! ======== Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Wahalifu wavamia mtaa, wapora mali & fedha, wapiga watu mapanga

    WATU watano wamejeruhiwa huku mmoja akiwa mahututi baada ya kundi la vijana kuvamia mtaa wa Tagusako, Tabata jijini Dar es Salaam, kupora mali na fedha taslimu." Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, mashuhuda na viongozi wa mtaa huo, walisema vijana hao wakiwa na silaha za jadi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini, Ramaphosa ahojiwa na wabunge kuhusu wizi wa fedha kwenye shamba lake

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake. Kwa mujibu wa shirika la habari la AP Ramaphosa alipigiwa kelele na wabunge wa upinzani wakimtaka...
  9. JamiiForums Tanzania Kigoma: Afisa Mtendaji ashtakiwa kwa ubadhirifu wa fedha za Umma

    TAKUKURU Mkoa wa Kigoma imefungua shauri la Uhujumu Uchumi Na. ECC. 22/2022 katika Mahakama ya Wilaya ya Kibondo, Agosti 29, 2022 dhidi ya aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Nyaruboya, Boniface Balishimura Kibada. Bw. Kibada anatuhumiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha za Umma...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafue, unawakera wapiga kura wako

    Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni. Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
  11. JamiiForums Tanzania Dodoma: Makarani wasusia sensa wakidai kutolipwa fedha zao

    Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Waongozaji hao wa Makarani wamedai kuwa waliahidiwa kulipwa laki moja kwa awamu mbili lakini hadi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa Fedha NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma (Fidelis Shauritanga) na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa Fedha za NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je umekuwa ukihangaika kuifahamu fedha ya kidijitali? Leo utaifahamu kwa undani zaidi

    Hebu fikiria Denis na Caroline wanataka kwenda jiji la Manchester kushuhudia mechi kati ya Chelsea na Arsenal ili waweze kuenda inabidi walipie nauli ya ndege ambayo Itasaidia kufika kule na itabidi walipie kupitia Mastercard ila kutokana na hitilafu inapelekea wote kushindwa kufanya malipo ila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

    Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi. Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue. Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Makosa Saba (07) yanayopelekea Kupoteza Fedha zako

    Emmanuel Olumide mwandishi wa vitabu kutoka Nigeria aliandika kitabu cha “50 common money mistakes” kitabu ambacho ameelezea makosa hamsini (50) ambayo watu wengi hufanya kwa kujua au kutojua na kupelekea kupoteza fedha zao, inawezekena kabisa unapata fedha lakini hujui wapi fedha zako...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: Afisa Mtendaji ahukumiwa miaka 20 jela kwa ufujaji wa fedha

    Agosti 24, 2022 Jamhuri imeshinda katika Shauri Na. ECO. 90/2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Shauri hili lilimhusu, JULIUS K. MBISE, aliyeshtakiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu, Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kuisababishia Serikali Hasara, kinyume na vifungu vya 28 (1)...
  18. JamiiForums Tanzania Hayati William Kusila, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa zamani aliyekimbia furushi la fedha ofisini

    Mbunge wa Bahi (CCM), Keneth Nollo ametoboa siri ya uzalendo wa Hayati William Kusila kwamba aliwahi kukimbia furushi la fedha zilizopelekwa ofisini kwake ili apokee hongo na kutoa upendeleo. Nollo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 25, 2022 wakati akitoa salamu za rambirambi mbele ya mwili...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

  20. JamiiForums Tanzania Fedha za tozo zawapa faida Lindi

    Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za miamala ya simu kikiwa na thamani ya Sh250 milioni. Kabla kituo hicho hakijajengwa wananchi walilazimika kwenda kufuata huduma za afya katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…