Wako mbali sana hawa viumbe , sisi wengine tunafiliria maji , afya , kulala njaa , utapia Milo , hatuna hata choo cha shimo chenyewe kinatushinda . Unakuja kuweweseka hapa . Wako mbali sana mkuu.Hizi nyakati si za kawaida kwa wakongwe wanazidi kujionea maajabu.