fashion

Fashion is a popular aesthetic expression in a certain time and context, especially in clothing, footwear, lifestyle, accessories, makeup, hairstyle and body proportions. Whereas, a trend often connotes a very specific aesthetic expression, and often lasting shorter than a season, fashion is a distinctive and industry-supported expression traditionally tied to the fashion season and collections. Style is an expression that lasts over many seasons, and is often connected to cultural movements and social markers, symbols, class and culture (ex. Baroque, Rococo, etc.). According to sociologist Pierre Bourdieu, fashion connotes “the latest fashion, the latest difference.”Even though they are often used together, the term fashion differs from clothes and costume, where the first describes the material and technical garment, whereas the second has been relegated to special senses like fancy-dress or masquerade wear. Fashion instead describes the social and temporal system that "activates" dress as a social signifier in a certain time and context. Philosopher Giorgio Agamben connects fashion to the current intensity of the qualitative moment, to the temporal aspect the Greek called kairos, whereas clothes belong to the quantitative, to what the Greek called chronos.Exclusive brands aspire for the label haute couture, but the term is technically limited to members of the Chambre Syndicale de la Haute Couture in Paris.With increasing mass-production of consumer commodities at cheaper prices, and with global reach, sustainability has become an urgent issue amongst politicians, brands and consumers.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Craziest fashion ever

  2. bro alex

    Fashion and modelling sio kazi ya mashoga ni elimu tu watu wakipewa wataelewa faida zake

    Katika pitapita huku na kule nikakutana na video, ikionyesha models katika majukwa cha KUSHANGAZA ni Moja wa models alipo tumia jukwa Hilo kuomba Dunia kutupia macho ukatili unao endelea Gaza, akisisitiza Hilo swala likomeshwe, Chini ni picha za upingaji mauaji Gaza hii modeling events...
  3. Beberu

    Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

    Toka nakua namsikia huyu jamaa matangazo yake EATV, miaka ya karibuni kaingia kwenye madawa(Pharmacy) ila sijawahi jua inamilikiwa na nani? Ni mbongo ? Jamaa kadumu kwenye game la nguo toka kitambo sana, toka 2007 huko namsikia hadi leo bado yupo strong, Nani anamjua huyu jamaa? Na napenda...
  4. X

    Legend na fashion icon Giorgio Armani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 91

    Aliyekuwa Godfather wa mitindo nchini Italia, gwiji na nguli wa mitindo duniani bilionea Giorgio Armani aliyezaliwa katika mji wa Pianceza nchini Italia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alianza kazi zake miaka 50 iliyopita jijini Milan jirani na mji aliozaliwa kwa kuanzisha Giorgio...
  5. Saoka

    Kuvaa kitu kipya kikiwa na label yake ni ushamba au fashion??

    Wadau nisaidieni hili Hivi kuvaa raba na haka kalebo ka plastic ni ushamba au ndo fashion yake Wataalam wa fashion tupeni uzoefu wenu
  6. cedrick lucas

    Whitegoat fashion design

    Mimi ni mfanya biashara katika upande wa mavazi kufanya design nzuri yenye muonekano mzuri na wa kipekee katika mjumuisho wa art culture na kwa mzingatio wa muone kano mzuri na wa kitofauti
  7. emmarki

    Ni kweli brand kubwa za fashion unazozifahamu zinatengenezwa china

    Kutona na vita ya kiuchumi kati ya U.S.A na CHINA, tunaendelea kufahamu vingi katika ulimwengu wa manufacturing.
  8. Damaso

    Doja Cat is this fashion or madness?

    Hivi karibu msanii Doja Cat amezua gumzo kwenye mitandao mara baada ya kuoiga picha ambazo zitatumika kwenye maonyesho ya mavazi pamoja na majarida ya fashion. Kwa mtazamo wako mdau, je hii ni fashion ama ni madness? Picha 1: Picha 2: Picha 3: Picha 4:
  9. Damaso

    Is this fashion or madness?

    This is one of the breathing taking scene of the 2025 Fashion Trust USA Awards. 📸 is this fashion or madness? To view the picture just check the attachment below.
  10. Jackson News

    Fashion Black Cuban Chain Bracelet On Aliexpress Tanzania Mkoa wowote

    Fashion Black Cuban Chain Bracelet Elevate Your Style with the Fashion Black Cuban Chain Bracelet Buy: Here Introduction Are you on the hunt for a stylish accessory that speaks volumes about your fashion sense? Look no further than the Fashion Black Cuban Chain Bracelet from Show Jewelry Store...
  11. Waufukweni

    Waziri Tabia Mwita: Walioshiriki Samia Fashion Festival 2024 wawezeshwe kulinda vipaji vyao

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewaagiza Viongozi wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kuhakikisha Wanawawezesha Vijana walioshiriki katika Tamasha la Samia Fashion Fastival 2024 ili kulinda na kuendeleza vipaji vyao. Ameyaswma hayo katika...
  12. Vincenzo Jr

    Milan Fashion Week 2024

    https://milanofashionweek.cameramoda.it/en/ Fatilia live Milan fashion week event ndani ya Uzi huu Tue, Sep 17, 2024 – Mon, Sep 23, 2024
  13. Ghost MVP

    Viatu vya Diamond Platnumz Mpaka Vitaongea mwaka huu

    Buti nyeusi za BALENCIAGA anazovaa Mondi zinaenda kwa jina la "ALASKA PUFFER BOOT (men)" amekuwa akizunguk navyo kika kona basi hata Abadilishe rangi tujue Anavyo Vingi basi, yan mwisho wa siku tunaoneka Taifa Tunarudia Viatu.. bei yake ni Dola za Kimarekani 1,325 wmbayo ni TZS Milioni 3.54...
  14. Mad Max

    Teach Men Fashion: Kuna baadhi ya Mavazi "Mwanaume" sio vema kuvaa na Kutoka Nje

    Wakuu. Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi. Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje mbele ya kadamnasi. Hapa ni baadhi ya mifano mitano (5): 1. Vipensi kuonesha Mapaja. Kuna watu...
  15. Shining Light

    Met Gala is not just simply fashion but detailed creative fashion

    The Met Gala, short for the Metropolitan Museum of Art Costume Institute Gala, is an annual fundraising event held in New York City at the Metropolitan Museum of Art. It marks the grand opening of the Costume Institute's annual fashion exhibit. The Gala typically takes place on the first...
  16. MamaSamia2025

    Fashion za nguo ambazo sizipendi nikaona bora zinipite

    Mimi ni mtu ninayependa kuvaa vizuri na kula vizuri. Kumbukumbu zangu zinaonyesha mara ya mwisho kununua mtumba ni miaka mingi ishapita hata zaidi ya 10. Nilijiambia bora niwe na nguo chache ila za ubora wa hali ya juu ambazo hata nikivaa najiongezea thamani yangu. Na ninapenda fashion nzuri...
  17. The Eric

    Wanaume tunaopenda fashion ni rahisi kupoteza ubingwa

    Salaam! Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya. Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively..... Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na mipaka. Hususani sie wanaume, kwa sababu wakuu vipo vingi venye urembo na urembo ni addiction huvuta...
  18. A

    Vijana Arusha kuvaa Diapers/Pampers Ni fashion mpya?

    Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
  19. Unique Flower

    Hii ni Kali au fashion eh 😡😡😡

    Mwaka Jana wandoa wanaume wanadai wamama wabaya Wakaenda Kwa michepuko, Mwaka huu wamama na shida zao na comments zao na michepuko . At least mna watoto bwana hebu shukeni mtuambie shida nini ?mbona mama zenu , baba zenu walikuwa wanavumiliana aisee acheni hizo . Vumilieni aisee maana...
  20. Mwande na Mndewa

    Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

    Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
Back
Top Bottom